Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa
Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen
Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina...
Wataalamu wa Kompyuta au yeyote mwenye uelewa anaweza kunielewesha.
Hivi,kwanini ukimtumia mtu picha kwenye simu au kompyuta yake ibakie tena kwako(Kwenye simu au Kompyuta yako)?Si hivyo tu,kama...
Moja ya sifa ninazosikia kuhusu bitcoin, ni kwamba ni uncentralized, hivyo huwezi kutrack mtumiaji.
Lakini kwa sasa kuna matukio kadhaa ya NSA kutrack wamiliki wa bitcoin, pia wameshikilia...
wakuu habari za muda huu,
Niliagiza oppo kikuu online katik maelezo yao walidai nakuta google play service iko tayar installed lakn haikua hvy kwa mtu ambay anajua namna kutatua tatizo nahitaji...
IT wa Ukoo na mtaa nimetolewa knock out baada ya kuletewa simu aina ya Infinix hot 10T yenye shida ya kushindwa kuzionesha simu zinazoingia ila baadae kuonekana kama missed call kwenye call log...
Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2
Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka...
Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa...
Wanajukwaa habari zenu.
Naomba kujua kama kuna njia au kampuni inayojishughulisha na huduma za kuagiza vitu online (mfano kama ilivyo Alibaba) toka Kenya kuja bongo.
Naona Bongo baadhi ya simu...
Hi wakubwa.
moja kwa moja kwenye mada, tumedisign mfumo (it solution) kwenye mnyororo mzima wa thamani kwenye kilimo (agricultural value chain) ambao utarahisisha mahusiano na mawasiliano kwa...
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.
Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu...
Habari
Nina laptop yangu aina ya Dell touch screen tatizo lake nikwamba ikitingishika/kutingishwa laptop yote ina stop kufanya kazi mpaka uizime kwa button ianze upya.yaan nikwamba yenyewe haitaji...
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.
Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu...
Habari zenu Wadau Wa Tech
Nimekaa Muda Mrefu Kutokana Na Changamoto Za Maisha Leo Nimeona Bora Nizungumze Na Kuwapa Tahadhari Wote Wanaomiliki Au Wanaopenda Kuja Kununua PC
Laptop Aina Ya Lenovo...
Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo...
Naombeni msaada jinsi ya ku arrange blogu kama sehemu ya teknolojia unaweka maswala ya teknolojia na sehemu ya breaking news una arrange breaking news tu
Wakubwa TV yangu aina ya Lg ni flat screen ina ukubwa wa inch 43 Jana nikiwa napanga vitu ilianguka na kujigonga kwenye ncha ya meza upande wa kioo hivyo kupelekea kupasuka na kuvujia wino naomba...
Kuelekea mwisho wa mwaka 2021 kampuni ya simu za mkononi TECNO yenye mashabiki wengi hasa upande wa simu janja inatarajiwa kuzindua toleo jipya la mfululizo wa simu zake aina ya TECNO Camon 18...
Naombeni msaada,
Nataka kurudisha email yangu ya zamani ila tatizo number niliofunguliaga haiko hewani ishapoteaga na wala sina recovery email yani zaidi yakukumbuka jina la email yangu sikumbuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.