Hizi redio zimetrend sana nowdays naombeni kufahamishwa kwa wale wazoefu na watumiaji wa redio za JBL Je zina mziki safi Maana unakuta kiredio kidogo bei 400K around
Pia kufahamu life span ipoje...
Samahani za muda huu na shida ya kufungua account ya paypel maana kuna vitu ving nataka kufanyia hii account sasa nimeambiwa natakiwa niwe na line ya safaricom hilo nifungue account ya paypel sasa...
Habari za uzima wakurugenzi nafikiri mpo poa na wanaojisikia vibaya na waliopata na majanga Basi mungu awape wepesi.
[emoji117]Twende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, nahitaji...
Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake
mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya...
Waheshimiwa kwema,
Nina tatizo la Keyboard na mouse, havifanyi kazi kwenye window 10, ila ukizima ukiwasha pale kwenye F2 inafanya kazi, tatizo ni ikaliza kuwaka ndo hapo haifanyi kazi kabisa...
Hello wakuu.
Current anafanya migration ya system inatoka language moja inaenda nyingine, tuna shift kwa sababu hii system ina deal sana na APIs tunahamia kwenye language ambayo itatupa ufanisi...
Kampuni nyingi zina jaribu kutoa aina mpya za teknolojia ambazo inabidi kusubiri au kuchukua kila mda lakini zimekuwa zikianguka kutokana na haraka haraka za hapa na pale.
Mfano kampuni nyingi...
Ni mashine ipi ni Kali na ipo speed kwenye 3d rendering kwa program Kama blender 3d na wenzake na yenye Bei ya kiTanzania. Maana natumia mashine yenye core i5 gen 3 ipo slow sana ingawa bado...
Jamani habari ndugu?
Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma...
ndugu kwa uzoefu wenu twitter na instagram mtandao upi uko vizuri kufuatilia mimi binafsi natumia zaidi hizi blogs kwahiyo nataka kuingia huko kwenye mitandao ya kijamii,asante.
Miaka ya 1990s, TANZANIA ilikuwa inazalisha baiskeli ambazo zilinunuliwa sana na watanzania. baada ya mda zilipotea kwenye soko. mwenye kumbukumbu atujulishe yafuatayo.
1. Kiwanda chake kilikuwa...
Habari Tech Members na Programmers. Kama kichwa kinavyojieleza, natamani kupewa elimu kidogo kuhusu hili swala la open source projects contributions linakuwaje na nawezaje na mimi nika contribute...
Teknolojia inapitia changamoto nyingi pale jambo jipya linakuja na kupokelewa kwa tafisiri mbaya au kuogopa.
Miaka ya iliyopita teknolojia ya barua pepe ilivoingia basi mashirika ya barua...
Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa
Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile...
Kuna tofati gani kati ya volt Watt na Ampia? Unakuta Adapter inatoa volt 12 ina Ampia 2. Au unakuta charger ya simu inatoa volt 5 na Ampia ni 1.5 au 2? Au unakuta Tv guard au volt guard...
Habari,
Msaada, Nahitaji kampuni nzuri ya kugawa mtandao (ISP) mwenye kifurushi poa na mwenye coverage kubwa (Zuku, Simbqnet na Cats hawana coverage huko).
Mteja yuko Chamazi Mbagala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.