Nina laptop ya hp Envy x360, Fan yake ya GPU imekufa, nimejaribu kupiga simu kwenye maduka tofauti hapa Tanzania bila mafanikio. Nimejifunza kuwa maduka yote niliyopiga hayauzi spare za laptop...
Habari Wana jamvi,
Hii simu (nimeichukua kwa mtu hivi karibuni),TECNO POUVilER 3 AIR hai_connect USB port katika PC na Wala HAKUNA notification yoyote; Ina Soma km charger tu na inachaji vyema...
habari wanandugu mimi ni mtumiaji wa samsung s6 edge nimenunua inakama miezi miwili haina mipasuko wala shida yeyote but nimetamani kutumia s9 je naweza kupata wa kubadilishana nae kisha niongeze...
Wakuu wale wajuzi wa mambo, toka nirud safari hapa home nilimwacha mtu kwa ajili ya ulinzi. Sasa toka nirud nikiingalia tv inatokea notification kama hio then ukiacha inajizima, before haikuwa...
wakuu habarini za majukumu,
Kuna flash yang moja ya kichin ya gb 128, niliibadilisha format kutoka EXFART, kwenda NTFs, baada ya kubadilisha ivo ilikua inasoma baadhi ya divices, nikabadilisha...
Mnamo tarehe6 February account yangu ya Facebook ilijifunga ghafla ikidai Kuna mtu mwingine alikuwa anaifungua kwenye kifaa kingine, ikataka niingize code namba wanazontumia, nikawa naingiza hizo...
Nimeona kama Gotv ina ufanano sana na Dstv, je ni ipi tofauti ya visimbuzi hivi viwili? Naona sana Gotv ipo kenya, uganda, Nigeria nk
Swali la nyongeza, mbona Gotv haipo Tanzania?
Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama
1.Youtube...
Habari wakuu!!Nina flash ile yenye pande mbili yaani unaweza weka katika simu au hata pc...sasa nikiichomeka katika pc inasoma vizuri ila katika simu haisomi...msaada wa hili plz
Wadau habari zenu.?
Nilikuwa natumia Samsung A30, ambayo nilinunua mwaka juzi ,nilipanga mwaka huu ninadilishe..
bahati mbaya jana nikiwa na mashkaji tunapiga mambo niliidondosha, haifanyi kazi...
Habari za siku wanajamii
Kama ilivyo kawaida ya jukwaa pendwa la teknolojia ambapo huwa tunaelekezana mambo mbalimbali yanayoendelea katika ulimwengu huu wa sayansi.
Katika pitapita zangu kwenye...
Habari.
Naomba mnisaidie kujua program nzuri ya kuweza kurudisha driver zilizokua missing kwenye computer inayotumia window 10 pro tafadhali.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics
kampuni hiyo...
'Pinter' isomeke 'Printer'
Epson l382
Haina tatizo kwenye printing, kazi ni nzuri.
Tatizo lipo kwe kutoa copy, copy ina toka na mistari.
Wajuzi nipeni ufumbuzi.
1. Printed
Sent using Jamii...
Hanari wana JF, ni muda mrefu hatuja jadiliana hapa lakini hii ni kutokana na mambo mengi ambayo tumekuwa tukijaribu kufanya. Mengi yemefanikiwa na machache yamekuwa kama changamoto kwetu...
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.
Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari...
Nina Idea ya product ya Educational technology.
Ila ipo kwenye mahandishi mpaka sasa.
Ni wapi naweza pata mfadhili au mtu wa kufanya nae partnership?
Naombeni msaada wa mawazo.
Wakuu msaada wa kutatua ttzo la led screen inayoonesha mostari ya white picha kufifia na rangi kubadilika.. Mara inakuwa kama dhambarau mara normal... Picha kuonesha imefifia na hata kuganda au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.