Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Aliye na app tajwa hapo juu ajitokeze tufanye kazi, angalizo, sitaki app ya kufanya kazi online, lkn pia app itumie kifurushi cha kwenye simu sio kununua sms moja moja.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tetesi zinaonyesha kampuni ya Google ipo mbioni kuingia katika soko la Miwani za AR na imeanza majaribio ya kutengeneza AR Glasses zake. Mwaka jana tuliona Snapchat, Ray Ban, Meta, TikTok...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna MTU alishawahi kutumia hii kitu
2 Reactions
6 Replies
603 Views
Honestly, kama kuna kitu wabongo wanapigwa basi ni screen protectors. Hivi ni mara ngapi umeweka screen protector kwenye simu halafu ukaangusha na bado screen ikavunjika? Hivi unadhani...
10 Reactions
140 Replies
16K Views
Kumekua na maswali mengi sana kuhusu watu kutaka kujua namna ya ku-track simu ya mtu mwingine. Kwanza kabisa naomba itambulike kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria...
23 Reactions
226 Replies
61K Views
Heshima kwenu watalaamu wa jukwaa hili, Nina Budget ya 800K ninahitaji laptop. Majukumu maalum ni kama Kutumia Softwares kama AUTOCAD, CIVIL 3D, STAAD PRO, MATLAB na program baadhi za Engineering...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari za humu wakuu!! Natumai wote ni wazima na mnaendelea na ujenzi wa taifa letu, bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada husika. Wengi wetu tumejikuta tukipoteza namba nyingi za simu za...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu natumai mpo poa, Uzi huu ni kwa watumiaji wa idevice na wanaojua maujanja na sio uzi wa Android user kuja kupiga madongo. Sote tunajua kwamba idevice ni bidhaa bora sokoni lakini kuna...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu kuna uzi humu umeelekeza namna ya kupata contacts zako za zamani kwa kutumia facebook, tafadhali mwenye nao anisaidie.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada wakuu wa hizi kazi. Nahitaji kuongeza ujuzi kidogo.Naombeni msaada wa software nzuri ambazo kwa mtumiaji asiye na abc skills za video editing na graphics designing anaweza jifunza.Ikiwa na...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Kati ya hizo 2 ipi ya kuipa kipaumbele? OnePlus n100 na redmi 9
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za muda huu naitaji ushauti wenu wa laptop nzuri ya kununua maana nilikuwa natumia hp notebook core i7 cpu 2.6. Ingawa kwasasa nimeiuza. Nahitaji laptop nyingine ya bajeti hiyo na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ambaye anajua kupiga windows 10 vizuri na anapatikana shinyanga mjini please naomba ani pm, kunafala mmoja kanipigia window leo sijui kaipigaje narudi nyumbani naiwasha pc yangu naambiwa repair...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari ya muda huu. Nilikuwa nauliza ni application gani naweza kutumia kutengeneza VIDEO LYRICS kama hizi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini za Weekend Waungwana Wenzangu. Naomba msaada wenu, ni aina gani na ni wapi naweza kupata TABLET kwa Shilingi Laki Saba hapa Bongo. Sifa zake iwe ni; Mpya ANDROID RAM kuanzia 4 GB ROM...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naiuza kama ilivyo Samsung note 9 Imeanguka Imevunja kioo Inawaka na ukipigiwa inaita Tatizo kioo tu Naiuza kama ilivyo Mali halali
3 Reactions
16 Replies
942 Views
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu nahitaji Graphic designer wa kunitengenezea id card inayofanana na hii aliye tayari anicheki 0628505577 Sent from my itel L5002P...
2 Reactions
4 Replies
923 Views
Habari Wakuu, Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio. Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom