Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu poleni na majukumu, Naombeni msaada namna ya kufuta Account ya Instagram isionekane tena. Msaada kwa anaefahamu. Ni hayo tu. #Forgive Me
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani eehhhh anaeweza ku huck account ya instagram anipe somo account yangu imeibiwa
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je - Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes? -Kama...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna fununu kwamba mwaka huu, 2022 Apple atatoa simu za Iphone 14 pro yenye punch hole camera cutout kama zilivyo simu nyingine za Android tofauti na notch ama dirisha kwenye simu zake za sasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekuwa nikipata shida sana kila napo download video Telegram hasa napo tumiwa move yenye Mb kuanzia 300mb.Ninapo Download huwa inaenda slow sanaa. Na Tena ninapo toka ktk Download window...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukweli Kuhusu Matangazo Ya Kulipia!( Sponsored ads) Huwa nasema kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram na wewe ni mfanya biashara unayetaka Mafanikio Makubwa Mtandaoni. Kitendo Cha kutojua...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
jana ilidownload mpaka 100 asilimia kufika hapo ikaganda tu leo ndio imekaa tu 0 asilimia wala haisogei naomba msaada maana hata bluestacks emulator imegoma kufunguka nahisi tatizo ni hili na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HP Pavillion X360 Convertible Core i5 , 10th Gen , 16 GB Ram , touch screen Condition : good, used 3 month only. Price : 2,300,000/=
2 Reactions
0 Replies
418 Views
Habarini jamani naomba kujuzwa kama kunakuwepo na matumizi ya time tracker Katika kazi za fixed price huko upwork na freelancer.com. Napia ningependa kujuzwa kuwa kazi za freelancer.com ambazo ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarin wakuu xim yang ilidondoka na imekufa kioo nimezunguka kote nimekosa. Msaada kwa anaefaham upatikanaj wake na bei pia [emoji120][emoji120]
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu salama? Jana usiku nilikua natumia pc kwenye xcell sasa nikaifunga bila kuizima kwa muda ndo jadi yangu. Baada ya dk20 nikaifungua niendelee nakazi nikakuta imestuck, ikabd niiforce kuizima...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu? Heri ya mwaka mpya. Niende moja kwa moja kwenye mada,ni hivi ninahitaji mtu mwenye uwezo wa kutengeneza WIREFRAMES kisha azipeleke kwenye MOCKUPS halafu atengeneze...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza, chipset zip za helio zuri ambazo zinaweza kupambana na za snapdragon? Lakin pia zipi za sd ambazo ni poor kuliko mtk? Pia kinachosababisha camera kufifia ni nini kwenye simu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kujua hivi kwanini baadhi ya smartphones watengenezaji huamua kutoweka sehemu ya memory card na kutokuweka redio. Mfano baadhi ya Xiaomi, sina uhakika kama zote, na Iphones zote.
1 Reactions
6 Replies
820 Views
Kipi kinacho zishusha thamani ya bei hizi flagship za kibabe za samsung sana sana hizi S series mfano S6 ilitoka na bei yake ilikua ni 1,465,000 mpaka 1,500,000 sasa hivi kariakoo na makumbusho...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana Jamii forum, Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kutosha kwenye Networking hasa ambaye ameshafanya kazi au project ya ISP kwa hapa Tanzania, kuna mradi...
1 Reactions
1 Replies
972 Views
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu,poleni na hongereni kwa kazi za kujitafutia ridhiki za kila siku. Nipo hapa leo kuomba msaada kwenu kama mada nilivyoitambulisha hapo juu. Laptop yangu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau wa humu jukwaani. Nina swali kuhusu simu ya Infinix. Kuna mdau anatumia simu ya Infinix sina uhakika sana kama ni note 8 au ila ni toleo la zamani kidogo. Aliniambia kwenye Gallery...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau, Mwishoni mwa 2021, November to December nilitengeneza algorithm ya kubashiri mpira wa miguu. Nilitengeneza console application kwa majaribio, kwa kipindi cha December yote timu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom