Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za mchana wapendwa katika bwana. Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Habariii wana familia mi nikijana muhitimu wa chuo kwenye kada ya tehama nilikua nimekuja hapa kuleta ombi langu la kuomba kupata sehem ya kufanya intern kwa yoyote anaeweza kunisaidia au kama ana...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za mchana wana JF. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kujua jinsi ya kutumia Safaricom simcard kwa upande wa: 1. M-pesa 2. Vifurushi ya Internet kununua kwa njia ya kawaida na...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Niambie game kali lengine Play store
4 Reactions
87 Replies
10K Views
Habarin wakuu nina xiaomi MI pro ilidondok ikafa kioo. Sas nimezunguk madukan nimekosa. Msaada kwa anaeweza nisaidia upatikanaj wake natanguliza xhkran [emoji120][emoji120][emoji120]
1 Reactions
4 Replies
514 Views
Heri ya mwaka mpya wakuu, Kuna tatizo nimekuwa nikikumbana nalo katika kutumia computer(Desktop au laptops). Ni kwamba kuna alama ukitaka kuitumia unaiona imeandikwa kwenye kitufe Fulani lakini...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari, Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown. Pia ya transport na logistic...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunaishukuru sana JF na wakuu wote mliomo humu kwani mwaka 2021 mmetusaidia sana kuboresha huduma zetu hasa upande wa kuwasiliana na wateja na kuwaelimisha kuhusu safari za ndege, tiketi na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Najaribu kustructure project ya kuwezesha kutoa pesa za PayPal hapa TZ, kwa kuwa kwa sasa haiwezekani ila tunaweza take advantage ya kutumia product hizi 3 kufanikisha 1. M-Pesa open API 2...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu Nimepoteza simu yangu aina ya Samsung Galaxy note 9 nipo dar es salaam nimeenda polisi wananipiga kalenda toka juzi Naomba wenye ujuzi namna ya trace hiyo simu kwa kutumia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naona hawa jamaa Azam TV wameongeza Channel mpya kwenye series yao ya sports HD na kuleta AZAM sports 3 HD Hii ni good move kwenye Tasnia ya TV hapa Tanzania. Sasa tuna channel 5 za HD. Kwa maana...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari za mwaka mpya wakuu I hope wote mpo njema na Kama Kuna mtu amepatwa na mitihani Basi mwenyezimungu ampe wepesi. Twende kweny maada moja kwa moja wakuu Kama kichwa Cha habari...
1 Reactions
5 Replies
675 Views
Samahani wakuu Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu...
2 Reactions
4 Replies
774 Views
Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao. Nahitaji remote desktop software nafuu au cracked. Nawasilisha
2 Reactions
11 Replies
925 Views
Baada ya mihangaiko, iliyoumuisha kiburi na jeuri blackberry imezikwa jana, Blackberry aliweza kukataa mabadiliko, na hivyo kuchukua muda mrefu hadi kushtuka, wakati ambapo kaishapoteza...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
PC Acer Aspire E5-573 inadisplay nusu ya monitor. Sababu na namna ya kutafuta tatizo hilo?
0 Reactions
2 Replies
407 Views
Ndugu zangu nina uhitaji wa internet nyumbani.. nahitaji kujua internet provider wa hapa mwanza. Mm nipo bwiru press
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu namna ya kupata imei ya simu iliyokwisha potea tayari. Njia hii ni kwa wale tu wenye google accounts (gmail, YouTube, n.k) na wamewahi kuingia kwenye accounts hizo...
10 Reactions
54 Replies
17K Views
Habari wanajamii forum, Naomba kujua jinsi ya kuangalia afya ya betry ya simu. Mfano vile wanasemaga bettrry ina 100℅ au 86% au 50% naingiawapi natokea wapi. Kuna mtu anataka kuniuzia simuyake ni...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau habari za Asubuhi hope ni kwema,Poleni na majukumu. Kifupi tu nahitaji msaada jinsi ya kufuta post zangu zote za Instagram kwa pamoja. Post zaidi ya 900. Nafanyaje? Msaada plz #Forgive Me
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom