Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa. kuna browser inyoitwa opera, hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, lakini imeboreshwa zaidi kwa kuwekewa ndani...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
habari wanajukwaa naomba kuuliza simu tajwa hapo juu ina support 4g??
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo ningependa tufahamu tofauti ya music system tunazofunga ndani na matakwa yetu kwa kile tunachotaka kupata nyumbani. Najua home theatre system ni maarufu kwa wengi wetu na wengi tunapotaka...
164 Reactions
701 Replies
163K Views
Habari za usiku huu wa manane Ndugu yenu nataka nijitose kariakoo kwenda kununua simu nzuri dukani kwa ajiri ya matuzi ila zaidi iwe na uwezo wa kucheza games kubwa kubwa zenye high resolution...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu humu ndani....nina refurb ya s20+ hapa 5g model inagoma kuupdate android version na security patches hapa last time inaonekana kuwa ni December 2020 so no new security updates na...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba mnielekeze jinsi gani naweza kuikuza hii movie ijae/ienee/ionekane kwenye screen nzima...? Naombeni msaada wenu wakuu. Shukran.
0 Reactions
17 Replies
878 Views
Naombeni mnijuze hii ttcl internet fiber huwa inavyopita chini inawezaje kusambazwa majumbani, inabidi machimbo yachimbwe majumbani ili kuvutiwa waya wa fibrea au inakuwaje?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza ku-activate call recorder kwenye app ya Truecaller Premium Wakuu...? Natanguliza shukran.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau! Sina maneno mengi ila nimewaletea kazi hapa. M2 SSD GB 256 TSH 120,000/= Ni hivo tu. Mawasiliano +255 622 901 670
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Wakuu habari zenu, jumapili ya tar 5/12/21 nkifanya process ya unlock bootloader ya kimeo changu redmi 8a, nlipambana sana mpaka kuja kufikia hatua ya kupewa muda wa kusubiri baada ya masaa 69...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za mda huu wakuu Natumaini wote wazima Kama kichwa kivyoeleza hapo juu ni application Gani Yako nzuri unayoitumia katika photo editing za picha mbalimbali unazopiga , na mbinu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Kwa siku tatu Sasa Simu yangu Tecno BC3 imekuwa na tatizo la kudownload Apps kwenye play store. Nikijaribu inasema pending tu. Nimejaribu solutions zote nilizopata mtandaoni...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa Yoyote anaefahamu namna ya kuondoa hii Safety Lock Notitication katika TV (Samsung). Hakuna sehemu blank ya Kuingiza Password kila Button unayopress inakwambia Safety Lock.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hellow.....Nina King'amuzi cha Dstv sasa nahitaji kuunganisha TV 2 zote zioneshe kwa wakati mmoja! Nina hitaji kifaaa gani na ni sh.ngapi niendee kariakoo Sasa hivi! au kuna njia Gani ya kufanya...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Msaada anaejua jinsi ya ku migrate kutoka iphone moja kwenda nyingine bila kupoteza data kutoka old phone kwenda kwenye new phone
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello wanateknolojia habarini!!!!..Samahanini naomba mwenye kujua tatizo ni nini kwenye laptop yangu aina hp na ina windows 10 system anishauri cha kufanya, kama ni kufanya mwenyewe au kupeleka...
1 Reactions
1 Replies
772 Views
Jamani mimi niko na ATM card ya Equity bank, inaonyesha kuwa iko na uwezo wavkufanya malipo kwa VISA . SWALI LANGU KWA WAZOEFU . Naomba kujulishwa usalama wa akaunti yangu baada ya mm kilipia...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Kama ilivyo pendekezwa thread itakuwa updated
2 Reactions
41 Replies
4K Views
On line nawezaje kuicheki game ya leo? Nipo nje ya mji
1 Reactions
2 Replies
614 Views
Salam wakuu, Napenda kuuliza hivi haiwezekani zikawepo ATMs za mobile money? Yaan inakua ina function kama ATM za kawaida tu lakini yenyewe inasimama kama wakala? Mtu anaenda anachagua tu mtandao...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom