habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna...
Brand yeyote HP,ASUS,APPLE MAC, TOSHIBALENOVO&DELL
VIGEZO
RAM 16
SSD 512
SPEED 2.5 TO 4.5
RESOLUTION 1980×1080
SLIM
PORT C
Battery life iwe poa
Generation 10th
Yenye graphic card
Inayoweza...
Habari za mida hii wakuu?....
Kama jina la thread linavyojieleza hapo juu, ningependa moja kwa moja niende kwenye mada husika hasa iliyopelekea hadi mimi kuanzisha hii thread.
Nina mdogo wangu...
Wakuu naombeni kujua tofaut kati ya copy iphone na clone ya iphone
Najua kuna.copy nyingi za iphone ila kuna copy za iphone ambazo zinakua ni android tu yaan ikiwaka na mfumo ni android
Na kuna...
Habari Wakuu,
Nimekuwa na Shida Ya Kupata OTP number Kutoka Bank kuja kwenye Sim Card Yangu ya Tigo, Ninatumia Tigo nikiwa Nje ya Tanzania Baada Ya Kufanya ROAMING, Lakini Nakuwa napata...
Kadri ya siku zinavyosonga mbele , tekinologia kukuwa zaidi , kuja kwa programu nyingi na mbalimbali za kutumia katika kompyuta na hata vitu vingine vinavyounganishwa na kompyuta ndio matishio...
Research reveals that prolonged use of Covid masks, homemade or N95, can cause anywhere from five percent on up to 20 percent loss of oxygen, leading to hypercapnia (excessive carbon dioxide in...
Simu ni Samsung tatizo lake ikiwa mkoani kwenye baridi inazima ikirudi dar inafanya kazi vizuri tu. Ikiwekwa charge inawaka na inaendelea kupiga kazi ila ikienda mikoa yenye baridi inazima simu...
Nawasilimu kwajina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,
Husiken na kichwa cha habari hapo juu, navutiwa sana na kuvaa saa janja au smart watch ila nashindwa kutokana na uelewa wangu mdogo juu ya...
Habari za muda huu Tech Gurus?
natumia simu aina ya Camon 16.
Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password...
Habari za mda huu..
natumaini wote wazima
Kampuni la magari yanayojiendesha marekani(Automatic vehicles) NURO ambalo lilianjishwa California mwaka 2016 limepiga hatua katika kutengeneza...
natanguliza shukran wadau.
Kuna namba naiona kwenye simu ya shemeji/wifi yenu mara kwa mara. Haijaseviwa ila inaonekana imepiga na mara moja moja imepigiwa.
So kuna app gani naweza ku'install...
Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet.
Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi...
Msaada wana jukwaa, nimekua na tatizo la matumizi makubwa ya bando mpaka imekua kero kwangu kujiunga unga mara kwa mara na vifurushi vya internet.
Hata zile apps zinazo tumia data huwa nazi...
TV yangu inawaka vizuri tu na king'amzi kinawaka fleshi. Tatizo kingamzi hakisomi kwenye TV nimebadili waya wapi, kingamzi nimejaribu TV nyingine kinasoma. Akiri imestuk, naomba msaada
Habari wana JF
Tafadhali naomba msaada wa kupata list ya ISP wa Tanzania, nahitaji ili niweze kuissue Bid request lakini pia kujua who is there na what capacity nayo
Msaada wakuu simu tajwa hapo juu nashindwa ku install social network kama WhatsApp, YouTube
Kama mnavyo jua simu za China mitandao ya kijamii baadhi ilipigwa burn so naomba mwenye uelewa niweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.