Wakubwa nimependelea kuanzisha uzi huu maalum utakao toa bei za vio vya simu pamoja na Protector.
Itasaidia kujua gharama halisi ya vioo hivi kwa kupata miongozo kutoka kwa wataalam wetu tulio...
Wajomba nimepatwa na na kunipata sijui naanzia wapi ila ki ufupi kuna jamaa kaniotea huku kwenye computer yangu, ana encrypt files anazibadilisha to .MOIA extension.
Mfano nyimbo au video ya MP4...
Salam wakuu, nimecheza fps nyingi sana kwenye simu Ila my favourite sequel ilikua ni MC3,MC4 na MC5. Baada ya hapo games nyingine nlicheza kama agent 47, sniper etc. Lakini hazikukidhi roho yangu...
Habari waugwana wa humu, je salama!?
Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya...
leo baada ya kupekua vitabu vyangu na kutana na software ambayo nilikuwa mmoja wa watu waliotumia miaka hiyo.
kazaa ilianza kutumika miaka ya 2001 baada ya ugunduzi mkubwa wa mfumo wa P2P.
hii...
Habari zenu waungwana
Poleni na majukumu ya kila siku katika kujenga taifa na kujenga familia kwa ujumla.
Naomba niende kwenye topic. Kutokana na maendeleo makubwa yaliyofanyika kwenye science...
Kuna njia nyingi sana za kudownload mafile mbalimbali kwenye internet. leo nitatoa baadhi ya tips zangu ninazotumia kudownload na kama wewe una njia ya kudownload ambayo ni unique pia utaisema...
Heshima kwenu wakuu.
Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu?
Najua Technology imekua sana na kila...
Wakuu kwema humu??
Za Masiku??
Nina simu yangu ya Tecno N2 nilisahau password na kwa msaada wa watu wa hili Jukwaa plus Google/Youtube nikaweza kui-restart lakini sasa ndio inanihitaji Gmail...
Kwa wale mnaotumia Simu za android kianzia 5.0 (lollipop ) na kuendelea mpaka 7.0 kumekuwa na tatizo pale unaposahau patten na ukafanya hard reset utakapowasha simu yako itakitaka uweke email...
Baada ya toleo la android lollipop na kuendelea kumewekwa security patch kwenye simu za android. Hii inafanya kazi pale utakapofanya hard reset kwenye simu iliyo na account ya google. Simu...
Habarini wakuu...
Aisee nina shida na RAM aina ya ddr2 yenye at least ukubwa kuanzia 4GB kwa bar/stick 1 mpaka 8GB (2×4gb)
Nina mashine hapa nahitaji ku upgrade RAM, nina software moja ya kazi...
Samahani wadau nilikua naandaa matokeo ya wanafunzi wetu hapa shuleni sasa kwa kutumia excel nimeshndwa fomular za kuweka last top 10.
Hivyo kwa anayefahamu anisaidie tafadhali
Katika maisha yetu ya leo, kwa namna moja au nyingine tunatumia Artificial Intelligence- intellijensia ya kutengenezwa(Sijapata Kiswahili Fasaha, wana jamvi waweza saidia) kupitia vifaa vya...
Habari ndugu
Jana kwa mara ya kwanza nimepost ads kwa kutumia computer, tangazo linahusu Saluni yangu na huduma zinazopatikana
Nikaweka objective ya message
Nikaset audience fresh
Nikaweka...
Wadau habari za jioni, niende moja kwa moja kwenye mada hpo juu Ndugu zangu natafuta website ambayo itanilipa kwa dola kwa kila video nitakayoiangalia katika mitandao ya kijamii kama kuna mtu...
Wadau wa JF habari zenu,
Naomba mnisaidie kama kichwa cha habari hapo just flash yangu inakataa kuformat au kuiwekea vitu naomba mnisaidie inaandika the disk is write protected.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.