- Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea...
Habar wadau
Mdogo wenu bado nakimbizana na mambo ya programming huku sasa nataka nirahisishe mambo kuna mda nadownload source code files in my phone naziextract vzr tu sasa kuna mafile yenye...
Wakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya Samsung Galaxy Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza...
There are many ways to create videos for YouTube. The favorites ones include using a Flip camera or recording a PowerPoint presentation using Camtasia screen capture software. But there are many...
Wadau habari za majukumu, naomba kuuliza kwa wanaojua au ambao tayari wameshatumia simu hizi zinazopigiwa promo kwa sasa na makampuni ya Vodacom na Tigo maarufu kama Kitochi 4G Smart.
Napenda...
Mimi bana ni mshamba
Nahitaji kununua tv nch 65 mostly!
Naombeni ushauri ipi cheap na nzuri.
Nilikuwa na hisence 55` ikapasuka kioo.
Nataka nione tofauti na hizo brand zingine.
Naombeni...
Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikizuia wateja wake wasijitengenezee simu, Macs au vifaa vya Apple; au kutumia mafundi ambao hawajasajiliwa na Apple. Hali hiyo ilipelekea Apple kufunga na kuzuia watu...
Instagram imeongeza muda wa Stories kutoka sekunde 30 na sasa kufikia 60. Kwa sasa watumiaji wa iOS ndio wanaweza kutumia kipengele hiki cha sekunde 60 na hivi karibuni kuwafikia Android.
Nahitag kununua decoder aina ya canal + mwenye uzoefu na hii decoder kuanzia kwnye installation mpka kwenye matumizi na ulipaji wa vifurishi tafadhari msaada.
1. Clicking on e-mail attachments from unknown senders
Hopefully your user community has learned by now to avoid e-mail “stranger danger.” When it comes to attachments, if you don’t know who sent...
Kwa wapenzi wa sniper games, huu muendelezo wa Sniper Elite V2 ni mkali sana. Of course ni game ya zamani but hua sichoki kuicheza. By the way ni software gani nzuri kwa game boosting wakuu kwa...
Wana jukwa leo nimeletewa zawadi ya king'amuzi kinacho tumia laini internet pamoja na dish sasa kufungua nipate chaneli imekuwa inshu nime search nimepata channels 3900 sasa azifunguki msaada
Mfumo wa End-to-end encryption unazuia WhatsApp, mitandao ya simu na kampuni za Internet kuona kinachoendelea katika mazungumzo, messages na files. Lakini hapo mwanzo mfumo huo ulikwepo katika...
Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa...
WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts.
Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu...
Spidi ya dunia kuhamia kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme badala ya mafuta imekolea na sasa kampuni ya magari ya Hyundai ya Korea Kusini imeonesha mfano wa magari yake ya umeme ambapo gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.