Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina safisha simu. Sasa kina folder nimeliona limeandikwa Android, lina almost 3 GB. Nimetaka nilifute; naombeni elimu yenu juu ya Folder hili na Je nikilifuta kuna shida yoyote?
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za wakati huu waungwana. Bila kupoteza muda niende kwenye mada husika. Ninaomba kujua jinsi ya kuzipata Post Code na kuzijaza kwenye field mbalimbali ambazo zinahitajika.. Kwa case...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu salaam Nina pc yangu Hp probook, nilikuwa nafanya kazi fresh baadae naiweka chaja Windows inagoma kufunguka inaleta hii notification. Msaada tafadhali.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Guys habari za sasa! naomba mnisaidie, ukiacha ile faida ya kua bank inapata zile deposits, ni faida gani nyingine bank ya NCBA inafaidika kutokana na ushirika wake na M-Pawa?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji kuanza biashara ya mavazi lakini kama mnavyojua biashara now inahitaji kuwa na picha nzuri zenye quality kwa ajili ya kuipromote biashara mtandaoni Wataalam nishaurini kati ya google...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Kulingana na bajeti niliyonayo wenye uelewa na uzoefu kuhusu hii soundbar kwenye bass Kwa ujumla mziki wake naombenii mtiririke na Kama kuna uwezekano WA kupata nyinginee.
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu,, nimepoteza Earbug ambayo inatumika kuhifadhi na kuchajia earphone zake na sasa nimebakiwa na earphones tu ambazo nashindwa hata namna ya kuchaji. Naomba msaada wapi naweza kupata hyo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe. Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe...
3 Reactions
89 Replies
9K Views
Watalaam na wazoefu je kuna madhara yoyote simu itapata ikiwa unaitumia wakati unachaji?
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Hizi battery najua wengi wa jukwaa hili wanazifahamu.. Je, kuna mtu amewahi jaribu hii mbinu? inacharge kwa mda gani hadi battery kuisha?
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Habari zenu wakuu naombeni Masada jinsi ya kui nstall Netflix kwenye simu yangu Aina ya Red mi 7 maana kila navyojaribu inatokea ujumbe your device isn't compatible with this version
0 Reactions
4 Replies
702 Views
Teknolojia ya Uber ni moja ya teknolojia inayoonekana kufanya vizuri Sana duniani kwa Sasa, teknolojia hii imeondoa changamoto ya usafiri miongoni mwa abiria pia imeondoa changamoto ya kupata...
0 Reactions
2 Replies
600 Views
Makampuni mengi yanayo tengeneza simu yamejitahidi sana kubolesha simu zao ila wapo taratibu sana kwenye swala la kuboresha mabetri kwamba betri liweze kudumu angalau hata miaka minne bila kuleta...
4 Reactions
43 Replies
9K Views
Habari za mda huu. nIngependa kushare nanyi baadhi ya tips unazoweza ukazitumia kuifanya Whatsapp Yako ionekane vizurii na yenye mvutoo mbinu ya kwanza 1.Font style.ni namna maneno unayotype...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello guys, hope u have had a great time so far! Guys mie naomba mnisaidie ninahitaji anaeweza kuniunganisha na mtu au kampuni ambao wako very competent kwenye programming. Ninahitaji...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habar wakuu nina vodafone v875 inakubal lain ya voda tu nahitaj msaada wa kupata code za kuifungua msaada please....
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Laptop yangu inatatizo la charging system haipokei chaji, nimepeleka kwa fundi anarekebisha ila baada ya muda tatizo linarejea tena. Naomba msaada wenu kama kunafundi mzuri anisaidie. Asante
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Habari zenu ndugu zangu Nina PC Aina ya HP niliiweka kwenye Chaji Usiku Sasa asubuhi nimeamka naona Haiwaki kabisa, vilevile Button ya Kuwashia PC naona imekuwa inatoa ka MWANGA hafifu nimejaribu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habar. Kuna mtu anataka kuniuzia fjiji Aina ya Von milango miwili. Ni friji dogo. Sasa sina utaalam na friji na hata muuzaji hafaham linatumia unit ngap Kwa siku. Mwenye kujua Kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha, Budget yangu ni laki 250000 - 300000. So wanajukwa naomba kueleweshwa...
1 Reactions
55 Replies
15K Views
Back
Top Bottom