Muonekano mpya wa OnePlus Nord N20 5G umevuja, muonekano mpya umebadilika sana na imekuwa katika muundo wa flat-edges kama iPhone 12 na iPhone 13.
Simu hii ya Mid-range (simu ya daraja la...
Wataalam wa jf salaamz.
Huwa naishukuru kwanza jf na wadau wake kwa kunipa mwongozo kuhusu kada ya tech za kijanja.
Leo naomba kujua headphones nzuri wired ni zipi na wapi kwa bajet chin ya...
Hello Mhariri , change the thread title to
If C is faster than C++, then why are companies like SpaceX (and autonomous vehicle companies) using C++ when they need the efficiency Code written in C...
Kampuni maarufu ya Apple miaka 10 ijayo mauzo ya vifaa vyake kama simu,saa,tablet n.k yatapungua kwa kiasi kikubwa kwa soko la Afrika hii ni kutokana na Ushindani kwenye vifaa vya teknolojia...
Kutoka katika vyanzo vya kusambaza material na utengenezaji wa simu za Google Pixels, kwa supply na order za sasa, inaonekana Google imefanya maamuzi ya kusitisha kuzitengeneza simu za Pixel Fold...
Habari za sahizi wakuu
Wakuu yeyote mwenye uelewa kuhusu your freedom aliyewahi kuitumia anipe experience jinsi ya kutumia au kulipia na je yaliyo kwenye website yao nini kweli.
Asanteni.
Heshima kwenu wakuu.
Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL...
Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1. Ni High Quality format ambayo inawezesha video kuwa na quality kubwa sana bila kutumia data sana, kuliko format za MPEG4 na HEVC.
AV1 ni...
Habari zenu ,naombeni msaada simu yangu ni Samsung galaxy s6 T-Mobile, nimeitumia tyar mwaka miezi kama mitatu mpaka sasa play store inagoma kudownload application
Na application zingine zimeanza...
Wakuu nimepata changamoto kwenye ku sign in Netflix kila napomalizia kwenye credit card inagoma tatizo nini kila napowema CVV inaniambia Error in method payment
Live voice translation for over 30 different languages from across the globe is now available thanks to these wireless earbuds!
Danny Manu created Cliks with a mission to become “the world’s...
Naombeni wadau movie hizo mbili nilizotaja hapo juu, nimejaribu kuzicheki kwenye website hizi nkiri.com, kimoitv, Toxicwap, netnaija hazipo
Please kama nitazipata kwa mb ndogo nitafurahi pia
Kama ilivyo ada sijui kama ni kwa simu zote ama ni baadhi kwamba unapoinunua dukani Haina kile kioo Cha juu kijulikanacho kama protector. Hivyo inatulazimu kutafuta protector ya kukinga kioo Cha...
Ndugu zangu wana jamiiforum poleni na shughuri za hapa na pale naomba ushauri.
Nahitaji kufungua kampuni ya mtoa huduma ya internet "ISP" kahama, ni hatua zipi za kufuata na gharama ya kianzio ni...
Tuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri...
Kulingana na hali inavyozidi kubadilika inatupasa watu pia tubadilike, yaani tutoke kwenye kutegemea cha watu na tuwe na vyetu. Labda tutaachana na manyanyaso ya watoa huduma.
Nauliza ni namna...
Ina kuwaje una chukua alama za videlo, majina yangu, anuwani ya ninapoishi wakati huo huo mdawote unajua nikowapi nafanya nini alafu mimi kama mteja nini ninacho pata? Kibaya zaidi nikwamba Hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.