Hakuna ubishi...trafic wamezid!wengine wamefikambali zaidi na kujificha vichakani!unapigwa tochi bila kujua...utashangaa unasimamishwa huko mbele na kuambiwa spidi yako ilikua above 50km/hr....je...
Naomba msaada wakuu kwa apk ya IMEI changer kwa Qualcomm devices, hii Mobile uncle naona ni kwa MTK devices tu. Kuna loophole flan hivi ya free internet nataka kuiexploit
Hellow Jamii Forum, nahitaji sana kupata hiyo DVD ya Eclipse AVN440 5D kwa ajiri ya Ku unlock Car Radio, na hii inakuja baada ya Kuchomoa Betri ya Gari, then Bahati Mbaya Ni kuwa DVD yake nilikua...
Wakuu habari za muda huu. poleni na pia hongereni kwa majukumu ya kila siku
Kama ulivyoweza kusoma kicha hapo juu, leo nitaenda kukujuza maujanja ambayo inawezekana ulikuwa hujui kuhusu laptop...
Habari zenu wadau
Hivi hawa Posta Tanzania wanatumia usafiri gani kusafirisha package kwa EMS?
Dah kwa kweli wanaboa sana sasa sijui wanazibeba bahasha kweenye mkokoteni ata sielewi...
Hivi...
Ndugu wana tech habari yenu,
Juzi jioni nilifanya malipo ya package ya compat ya dstv 51000elfu na baada ya malipo kufanyika sikupata huduma ( picha) Nimewasiliana na customer yao zaidi ya mara...
Mambo vipi wadau?
Hivi inakuaje mtu hana publicity yoyote katika jamii lakini akipost chochote fb reaction zinakuwa kubwa sana tena kwa muda mfupi?
Yani unakuta akipost dakika hiyohiyo likes...
Habari wanaJF,
Naomba kusaidiwa namna ya kutumia OTG/OTG CABLE AU NAMNA NYINGINE YOYOTE katika simu ili Iweze kusoma FILES kutoka kwenye EXTERNAL HARDDISK.
NB: Natumia Samsung A50
External HDD...
Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa...
Wakuu tujuzane Software na Computer app nzuri kwa ajili ya laptop au computer yako
zangu hizi
1.Android studio
2.VLC
3.Kaspersky
4.Ms office 2019
5.Adobe
6........
Ongezea na zako..
Katika kuperuzi mitandao mbalimbali nimekutana na hii kitu "website hii inatumia cookies " na wanakupa option ya kukubali na kuendelea kuperuzi mtandao husika. Nachopenda kufahamu ni;
1. Cookies...
Habari wadau !!
Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site
Niliwahi kusoma coment moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.