Habari za humu:
Nina simu ya tecno y4 imepata tatizo la invalid imei number yaani sipigi wala kutuma sms isipokuwa ku surf internet tu.
msaada tafadhali.
Smart guy
kama kichwa kinavyosema binafsi naamini JF ina watu wenye maujuzi yao, embu tupeane ABC ya njia mmbadala zenye unafuu baada ya serikali ya wanyonge kunyonga wanyonge wao kwa bei zisizovumilika za...
Wakuu habar za majukum
Kwa wale ambao wanauzoefu wa kutuma document ambazo zimescaniwa.
Naomba kufahamishwa kama mihuri na saini(signature) katika document ambayo naituma kwa njia ya ku scan,mtu...
Habarini za usiku wana jf,
Nimekuwa nikikutania na changamoto mara nyingi sana kuhusiana na jinsi ya ku turn on wifi connection kwenye kompyuta nyingi aidha iwe ya window 10 au 7 professional...
Habarini wakuu!
Nahitaji msaada wa kubadilisha window 7 kwenda window 10, nimejaribu kutumia cd imekataa na hata flash hata baada ya kuifanyia bootable.
Ujumbe ninaoupata ni kama picha...
A.alleikhum,naomba kuelekezwa namna ya kurekodi calls,ongoing & incoming,kwa maana ya namna gani au ni kitufe kipi nibonyeze ili niweze kurekodi maongezi.
Device ni Samsung A12
Natanguliza...
Wadau Simu yangu leo kila nikiweka kwenye chaji inakuja maelezo haya the connected device is not supported simu ni Samsung A 12 hili ni tatizo la pili tatizo la kwanza karibu wiki ya pili hii...
Mawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano ya Tanzania ni matumain yangu wote mpo salama kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu.
Kwa yeyote anayefaham Apps kali ya ku edit picha naomba...
Habari developers, nimekuwa nijiuliza kwann sisi madevelopers wa TZ tusi organise tukafanya kitu kama wenzetu wazungu hao wapo chini. Tunaweza kufanya kituo ambacho kinaweza kutoa mahali tulipo...
HABARI ZA JIONI WATAALAMU WA JUKWAA HILI.
njia hii imekuwepo muda mrefu sana ila haikuwa kwa lengo lililo nifanya nianzishe uzi huu.
lengo la njia hii au utundu huu ilikuwa kwa ajili ya kuhamisha...
Community ya Python ipo vizuri sana katika kushare detailed resources and kusaidia beginners kujifunza lugha hii,Kuna resource nyingi sana ambazo ziweza kuwa ni vigumu kupatikana kwa...
Salam wakuu,
Kama swali kinavyojieleza hapo juu, nimeshindwa kugrasp kabisa hii concept ya 3d houses. Jinsi gani wanaziprint naaterials gani zinatumika, na je ubora wake kulinganisha na nyumba za...
Unajua Nini Kuhusu Mkongo wa Taifa ?
Wakati unajengwa Mkongo wa Taifa tuliambiwa mengi na politicians pamoja na vyombo vya habari.
But personally bado nina maswali mengi kichwani. Wajuzi...
Achana na youtube, ni app gani ya radio naweza nikapata matangazo ya radio ya Wasafi Fm? Maan sisi wa huku mikoani tunateseka sana kumsikiliza George Ambangile
utajuaje kama una ugonjwa wa kupenda sana simu
unajua simu inafanya mambo mengi katika ulimwengu huu wa Dunia kwani uweza kutupa taarifa za duniani kwa urahisi sana pia simu utusaidia sana kuweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.