Mtandao wa WhatsApp unao milikiwa na kampuni ya facebook unafanya maboresho kwenye ujumbe sauti yaani voice notes.
Awali mtandao huo ulikuwa unalazimika mtumiaji kurudi kwenye Application yake...
Habarini wakuu!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni data recovery software ipi nzuri isiyokua na limit ya data recovery( free unlimited data recovery) au mwenye crack za hizo software kama...
Tangu Iphone zianze kutengenezwa kumekuwa na toleo la line moja tu hadi mwaka 2018 walipotoa Iphone XS yenye dual sim.
Mtaani kumekuwa na watu wengi wasijua hili na mara nyingi wanasema simu hizo...
Niadje wakuu,
Baada ya kuw kimya mda mrefu leo nimerud tena JF
Leo naileta kwenu premium app ya star times ambayo hulipii chochote ni wewe na bando lako
Ili kupakua app hii ni lazima uwe...
TZS 220,489.37 50%OFF | 7.3 inch HAUWEI P50 PRO Smartphone 5G 16GB+1TB 6800mAh 64MP Camera Unlocked Mobile Phones Telefon Celulares Cellphones
https://a.aliexpress.com/_mLCLzeW
Habari zenu humu mm nimehitimu diploma ya Computer science kwa mwaka sasa nilikuwa najiuliza kila kitu ni kipi nakipenda na nikawa navutiwa sana na maandishi yanayo husu code kudesign website na...
Habari wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina samsung yangu galaxy A12 ime hard setiwa nahitaji msaada wa kutolewa pass nitalipia huduma
Wakuu. Heshima kwenu.
Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu.
Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...?
Naweza kuona interface ya laptop kwa...
Wakuu,simu yangu Leo siku nzima wahatsapp na insta hazijafanya kazi naishia kutumia Facebook na telegram tu.
Kuna mtu Jana nlimuachia simu sijajua kama kuna setting kazifanya au shida nini simu...
Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan...
Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri.
- preferably those with video stabilizer (stabilization)
Brands: Xiaomi, Oppo, One Plus, etc.
Sorry...
Wakuu msaada wenu tafadhali.
Simu yangu (Samsung A50) ilivunjika kioo cha nje camera ya nyuma, nkaenda kwa fundi akaniwekea kingine ila ule uangavu wa picha haukuwepo tena, leo nmeamua kuking'oa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.