Naomba kupata uelewa kuhusu hizi battery mbili za simu tofauti yaani 5000mAh na 6000mAh inamaanisha nini? Nataka simu inayotunza charge kuliko nyingine kati ya hizi itakuwa ni IPI na kwa nini...
One of SSD drive iko na bitlocker encryption na kwa bahat mbaya nor bitlocker password nor recovery was safely stored. Hii SSD iko na issue ya "corruption of its hardware registry" hivyo can't be...
Habari za muda huu baada ya wezi kuniibia laptop yangu ambayo nilikuwa naitegemea kwa kazi zangu za online na ufundi wa simu muda mwingine. leo tena narudi kwenu kuomba ushauri wa laptop nzuri kwa...
Developers, Vodacom appears to have released the M-Pesa API. See M-Pesa Developer Portal
Developers, we can now create more solutions for online payments involving M-Pesa.
Wakuu naombeni ushauri hasa kwa wale wazoefu wa hizi
Nina kibiashara changu sasa nataka ninunue domain nitumie kwenye upande email mfano info@jorunalbooks.com Na pia upande wa ku host mail...
Mtandao wa WhatsApp ambao ni mali ya kampuni ya facebook, Yaja na Features Mpya katika mtandao huo.
Mabadiliko na maboresho yalifanywa na mtandao huo tarehe 28/09/2021 hivyo ilikuwa lazima kwa...
Kama kichwa kinavyojieleza, naombeni msaada jinsi ya kuitoa hiyo virus na kurudisha mafail yangu katika format sahihi.
Kwasasa picha, audio, video, docs etc zote zipo locked na .wiot format...
Habari wadau. natoa ofa ya kuelekeza jinsi ya kudesign sakiti za kielectronic kwa wenye uhitaji. Gharama ni sawa na bure. 20000 tu kwa mwezi na ntafundisha kwa njia ya group, TELEGRAM na WHATSAPP...
Baadhi ya key zilizopo kwenye keyboard ya computer hua ni Shortcut kwenye YouTube.
Hivyo ukiwa unatumia computer kuna baadhi ya key unaweza zitumia kama mbadala wa kipanya.
Baadhi ya shortcuts...
Nina modem/router model Zyxel ya adsl yenye uwezo wa kutumia pia 3G modem lakini imekuwa locked. Je kuna mtaalamu ambaye anaweza kuifungua ili nitumie 3G Modem ya operator yeyote?
Niwasalimu ndugu zangu nyote katika mtandao wetu pendwa JF.
Bila kupoteza muda ndugu zangu natafuta mother board ya printer hp laserjet pro mfp m125a. Kwa anayejua wauzaji wa hapa Tanzania au kama...
Kama title inavyojielezea, hii ni list ya Apps zote za Android, iOS, Windows n.k zilizotengenezwa na Watanzania na kwa ajili ya Mtanzania. Katika list hii tunaweka apps zilizopo kwenye Stores...
Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.
HADI MUDA...
Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google waja na YouTube story.
Youtube story ni kipengele cha kumruhusu mtumiaji wa YouTube mwenye account yaani youtuber kuweka hadithi kama ilivyo mitandao...
Habarini za Usiku wadau wa Tech
Leo nimekumbana na hii scenario nawasha Pc yangunlkn muonekano wa screen sio ule wa kawaida, ina ka rangi kama ya pink flan iv sometime ina ambatana na kama...
Unahisi kuna lugha ngapi duniani?
6,500-7,117.
Tena hizi ni zile zinazojulikana na zikiwa kwenye hatari ya kupungua.
Vipi kuhusu zile ambazo hazijulikani?
Wewe je unajua na kuzungumza lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.