Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu, Naomba kujua jinsi ya kucrack windows 10 pro. Nawasilisha kwenu wataalamu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Angalia hizo picha za hizo friji kisha unishauri unatumia lipi hapo? Nataka kununua friji lakini nashindwa nianzie wapi favourite yangu ni friji ndogo au size ya kati huwa sipendagi mafriji...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu.! Nina mpango wa kununua friji isiyozidi Lita 200. Napata shida katika kuchagua kwa kuwa sina uzoefu, Naomba mnisaidie kutambua sifa za friji ambayo haitatumia umeme(units)...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Wakuu naomben ushauri nahitaj kununua king'amuzi cha Azam TV kwa wale wenye uzoefu navyo Naomba kujua list ya local channel. Uangavu wao unazidi startimes ya dish? Hdmi cable ni bure wakati wa...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Swahili programming language (swap) ni lugha ya kuprogram kwa kutumia maneno ya Kiswahili, ni lugha ya kwanza kabisa kuruhusu mtu kuweza kuandika kodi kwa kutumia maneno ya kiswahili (swahili...
13 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu zangu. Nina project proposal kichwani. Nimeshaidhibitisha uhalali wake na mafanikio ya hio proposal. Nimesha kadiria malighafi na gharama za kuifanikisha. Tatizo linakuja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nataka nianze safari ya kujifunza kutengeza web applications. Mfano kuweza kutengeza inventory systems n.k Ni language zipi natakiwa kujifunza kutengeza hizo web applications...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarini ndugu, What makes your presentation to capture the audience attention, is all about how you transform your data/content into smarter, professional and presentive slides. Na hii mara zote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu naombeni msaada. Kuna hii simu natumia infinix.. Tatizo lake ukipigiwa simu ukapokea inakuwa kama imezima yaani huwezi kukata mpaka aliyekupigia akate yeye.. Hata ukipiga simu inakuwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wataalamu wa mitandao naomba mnijibu Kama ni kweli inawezekana kupata hela kwa kuangalia video online. Nimeuliza kwa sababu Kuna dada flani(rafiki yangu) alikuwa anapost picha za screenshots...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi, kama chichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza....mara kwa mara nimekuwa nikiingia baadhi ya app kwenye sim huwa nakutana na neno scan QR CODE mfano kwenye app ya...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Aisee apple ni wajanja sana Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13 Bei yake iko juu sana Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake Kwa kifup hakuna jipya MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13
7 Reactions
156 Replies
16K Views
Watu wengi wanaambiwa computer yako imekufa motherboard nunua laptop mpya.. Hii si sawa ni uvivu tu wa mafundi... Embu taja tatizo lako hapa nikushauri....
3 Reactions
310 Replies
42K Views
Wizara ya Ulinzi Nchini humo imewaonya Watumiaji wa simu za Kichina kuzitupa na kuepuka kuzinunua. Kauli hiyo inakuja baada ya Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Usalama wa Mtandaoni. Watafiti...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari wana JF! Mwaka jana ulipoanza niliweka nia ya kujifunza website development, nashukuru nimefanikiwa kutengeneza website yangu na kilichobaki kuifanyia minor improvements na kuihost...
6 Reactions
31 Replies
5K Views
Naitaji kuangalia mpira na baazi documentary tafadhari naomba msaaada wa app nitakayoweza kustream online tv
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda huu. Baada ya pc health check kundolewa kutokana na mapungufu siku za nyuma hatimaye microsoft wame irudisha tena huku bado siku kadhaa tu ili window 11 itoke rasmi tarehe 2
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu shida yangu kubwa ni kuunganishwa line yangu iwe ya chuo.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
simu yangu hapa majuzi iliopata ajali.hivyo display imeweka bonge la wino nataka kubadil kioo je itakost bei gani Nipo ukonga
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom