Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu, naomba aliye na hizo product keys anipe kwani nimepigwa na aliyenifanyia software installation, kasema kaweka kumbe hazina hiyo hivyo zina demand ili zioperate. Asante wadau.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada wakuu haya maneno yananichanganya hasa katika simu yangu upande wa kulock.. nimeshindwa kutofautisha ... Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wakuu, Natumia sim ya samsung A02 nikitaka ku screen shot inakataa ina maana hii cm haina screen shot? Pia nilikuwa najaribu kuangalia option ya finger print pia hakuna ina maana samsung...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Je unajua kwamba domain name ni mtaji? Unapoona jina kama jamiiforums.com hii ni domain name unapoona jina kama tzhosts.com hii ni domain name.Leo nataka tuzungumzie kidogo maana na umuhimu wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mwaka 2011-2013 nilikuwa na blog website kubwa sana,ambayo ilipata watembeleaji wengi sana kila siku Ilikuwa inahusu marafiki/wachumba Muziki,habari,udaku na vichekesho.. Kiukweli hata...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu habari za masiku, majuzi nilikuja hapa jukwaani na nyuzi takribani 2 nikiomba msaada juu ya kusahihisha toleo la window 11 kwa pc yangu. Bahati nzuri nilifanikiwa juu ya hilo sasa nilikuwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada kidgo kujua kama, Kompyuta za apple znaweza kufaa kutumika katika kazi za stationary bila kuleta matatizo au usumbufu wowote? Maana nlitaka kununua kuna jamaa yangu...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wadau.. simu yangu display inazima zima na inachelewa sana kurudi kwenye hali yake ya kawaida yaani kuwaka tena.Sasa nimeamua kuweka screen timeout ya mwisho kabisa kwenye simu yangu ambayo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Leo nilikutana na Karibu.TZ | .TZ Domain names registration portal (nafahamu ndo website ya TCRA?) Hivi .tz TLD ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Watu wa Mungu nawasalimu kwa jina la jamhuri. Umekuwepo msemo eti ujijua programming vizuri utapiga sana pesa, lakini kila unayemuuliza unapigaje pesa hafunguki kabisa! Sasa wataalamu hebu leo...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
nina simu aina ya samsung galaxy grand prime plus ambayo haina ile built in smart watch,nimejaribu kudownload app zaidi ya kumi tofautitofauti hakuna inayokubali kuconnect na tv yangu tv yangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani habarini za jumapili ni hivi naomba kuuliza hivi ni lazima kujua framework za JavaScript Kama nitataka kufanya frontend development
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Galaxy Note 9 1. Kugoma kutuma Hotspot-Inashare ila 2ñd Device haionekani 2. Kugoma Kusoma USB kwenye PC 3. Picha Kutoa Ukungu/mwangwi wa mwanga Nifanyeje 1. Hotspot ionekane kwenye device...
0 Reactions
5 Replies
503 Views
Wakuu naomba maelekezo ya wapi naweza kwenda kupata msaada wa kubadilisha PDF doc ambayo iko kwenye format ya JPEG. Niko Dar na naweza kufanya Jumamosi 04/09 au Jumapili 05/09. JF Never Fail....
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi mliowazoefu wa magari hasa gari ndogo za binafsi naomba mnijulishe A) Gari ndogo inapaswa kuwekwa maji baada ya muda/siku ngapi? B) Coolant zipo ndogo na kubwa za ltr 1 kila baada ya...
1 Reactions
36 Replies
22K Views
Habarini humu waungwana? Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp umenuia kuweka ukomo wa utumaji ujumbe kwa wanachama wake na sasa si zaidi ya mara tano,(5) kwa lengo la kukabiliana na kuenea kwa habari za uongo kwenye jukwaa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
##6485## Hii code ukipiga kwa watumiaji wa Xiaomi utapata baadhi inf muhimu MF-02 idadi ya michomeko ya chaji toka simu ilipo nunuliwa MB-06 battery health ect.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom