Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
To PCB designers, I need a DC-DC converters At least 4-5A load support That means 1200 wattage max.
1 Reactions
1 Replies
456 Views
Habari zenu wataalaam ,naomba msaada cm tajwa hapo juu haingiizi charge, ukiiweka kwenye charge inaleta alama ya kucharge Kisha inapotea inafanya hivyo hivyo bila ya asilimia kuongezeka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama ulikua unajiandaa kununua iPhone 11 basi fahamu kuwa 13 sasa hivi imeshatoka.
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wa kupatiwa Yowhatsapp current version please. Kama kuna mwenye link naomba anisaidie tafadhali. Thanks a lot...!
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
NJIA ZA KUFUNGA KIOO CHA SIMU NA USALAMA WAKE (SCREEN LOCK) SLIDE TO UNLOCK: Hii ni njia rahisi na isiyoshauriwa kutumika. Kuweka hii ni sawa na kufunga mlango kisha unaweka jiwe dogo ili...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba ushauri kabla sijaingizwa mjini mimi sio mzoefu wa hizi falt TV. Ipo hivi kuna mfanyakazi mwenzangu hapa ni mzanzibari anafanya kazi bara. Nilimwambia nahitaji kununua tv ya bei ndogo ila...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamani hivi wale funza wanaokaa. Kwenye kichwa cha mbuzi wanakazi gan?
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ya jumapili wakuu. Naomba kujua kama naweza kutumia dishi moja la azam au dstv kuweka vile kichwa viwili vya azam na dstv. Nina ving'amuzi viwili, dstv na azam ila najaribu kuangalia...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli. Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake...
9 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari za muda huu naomba kujua jinsi ya kufanya Simu za T smart ziwe kama router ili nitumie kwa internet
1 Reactions
1 Replies
746 Views
nikidownload wimbo naambiwa error in fetchng file!natumia techno za kawaida hz ila cjui ni techno ngap!! nilinunua kariakoo 55 elfu!! wimbo unakuwa downloaded wote ila hauji save! help your cousin...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
This Python code raises an Attribute Error: 'list' object has no attribute 'shape'. Select it, copy and paste it here Programming and Computing with Python Right from the Forum to run and explore...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
kama inavyoonekana kwenye picha nataka iyo hustle gang niipandishe kwenye local C.
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Hizi ni movie hazifunguki kwa VLC so nataka kuziconvert ili zifunguke kwa VLC Winx Hd na Any video converter zimeshindwa ku convert
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Msaada nimeanza kutumia haka kabox dizain kama nimekielewa Ila Sasa naomba msaada kwenye hili 1: Je naweza kuangalia epl kwa kuunganisha app ya DStv na satellite receiver smart card ya jirani? 2...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Niaje Wadau? Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari. Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yandex ni search engine kama google, bing au Yahoo, ila hii ni Ya Urusi. Ni ya Sita Duniani kwenye List Ya Search Engine Muhimu Duniani. Neno Yandex lina maana ya “YET ANOTHER INDEXEE” What...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Video ni hii hapo chini, kama una muda wakutosha na una bando na lugha ya malkia haikupigi chenga, basi itazame. Siku zijazo, taarifa zako zote binafsi na za kibenki zitatunzwa humo, na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom