Habarin za asubuh wadau wa jukwaa la teknolojia,
naskia kuna app ya kuingiza vocha kwenye cm kwa ku scan tu zile namba za vocha ....jeh! Iyo app inaitwaje kwa anayeifaham?
Chier mkwawa mambo...
Jinsi Ya Kujaribu Kutumia Window 11 os bila kuinstall, Unatumia browser tu.
The developer Blue Edge has created an online emulator of the Windows 11 operating system. With this, users can get a...
How to know Adoption Rate of IPv6 of your Country by Using Google Statistics
Which Country lead IPv6 Adoption Rate and Why ?
Hatua.
1. Ingia IPv6 – Google
2. Bofya tab ya IPv6 Adoption by...
hivi hizi tv za tcl zinaweza kuwa na vingamuzi ndani wadau
Ninayo nchi 32 kuna jamaa alisema huwa vinakuwa na Vingamuzi ndani je ni kweli kama ni kweli kwenye option ipi
Tujuzane hapo
Nina hp elitebook model yake ni 8570p
Zqmani ilikua inarun vizuri tu lakini saivi kwanza inapowaka tu inakaa zaidi ya dakika 10. Halafu ikishawaka ukifungua program yoyote haifunguki hata video...
Natengenza Paypal za USA na UK
Linked with Bank
PAYPAL Comes With Documents (DL, SSN, STATE ID or Passport)
Hakuna mambo za PayPal kuwa Limited,
And Withdraw ni easy Unaweza Withdraw (kutoa) kwa...
Hapa kwenye picha kuna waya ambao una terminal nyekundu na nyeupe unatoka kwenye subwoofer na kuingia kwenye TV waya huo kama. unavyouona upande wa pili una interface ya kuingia kwenye TV lakini...
Hivi hili suala la Google service kutaka permission ya kila kitu...kama storage,sms,storage,sensor,phone,call logs,camera, microphone limekaaje.....na nikisisable hizi permission wananambia your...
Habari wanajamvi kama head inavyoeleza hapo juu ni kama week moja imepita nimeibiwa simu yangu ya Tecno camon 12 air ndani ya gari so nilikua naomba msaada namna ya kuitrack ili niweze kumkamata...
Wakuu naombeni mnijuze simu yangu upande wa kulock kuna hayo maneno Mim huwa naona yote ni sawa ..kama ni sawa kwanin wayaweke yote kama ni tofauti je nini tofauti zake?
Sent from my Nokia 1...
NAMNA YA KULINDA NYWILA (PASSWORD) YAKO
1) Usitumie Nywila (Password) moja kwenye kurasa zako zote za Mitandao ya Kijamii. Hakikisha kila mtandao unatumia #Password yake
2) Hakikisha Nywila yako...
Kununua Simu kwa Mtu kumewaweka Watu wengi kwenye matatizo kutokana na Simu husika kuwa na historia ya kuhusika katika matukio ya Uhalifu.
Hakikisha Simu unayonunua ni halali kutoka kwa Muuzaji...
habar ndugu zangu
natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza...
Habarini humu, nipo natumia Tecno P5 sasa naitumia hii wi-fi hotspot ku-connect intaneti kwenye PC sasa leo nina siku ya pili nimejaribu kuconnect imeshindikana.
Nikajua tatizo ni pc lakini sio ni...
Wadau mko poa?
Nadhani kwa ambao mmenunua flat tv recently kuna marketing term ambayo wanaitumia wauzaji TV kwamba "Ina king'amuzi ndani" utaona channel zote bure.Nimeleta mada mezani tupeane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.