Habarini wana familia........nimekuja kwenu ili muweze kunisaidia mawili matatu kuhusu mifumo amabayo inakua na sehem ya malipo mfano system za chuo ukishafanya malipo system inaonyesha kua tayar...
Calculator ya iOS nilikuwa nalaumu sana kuwa ina functionalities ndogo kama za primary haionyeshi equation. Nilikuwa silizishwi nayo iko kubwa na haina hata sehem za marekebisho yaani namaanisha...
Je umekuwa ukihangaika ulinde vipi simu yako kuepuka wezi wanaokata madirisha usiku wakati umelala. Pengine hukujua tu lakini play store zipo apps nyingi za anti theft. App hizi zinatofautiana...
Habari za wakati huu wadau, nadhani mtakua poa mkiendelea na majukumu ya kulijenga taifa.
Kama kicha cha mada kinavyosema nahitaji kununua akaunti ya play store console ila tatizo ni master card...
Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD
app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
Hello waungwana kama kichwa cha uzi kisemavyo msaada tafadhari ningependa kujua ni njia zipi naweza kuzitumia ili niweze kujilinda na udukuzi. Iwe kwa njia iliyobora zaidi,iwe online au offline na...
Kama nilivyoeleza hapo juu simu yangu Aina ya Tecno park 5 Ina tatizo la kutopokea chaji ikiwa imewashwa takriban wiki Sasa.
Njia pekee ninayotumia kwa Sasa Ni kuizima tu kila ninapohitaji...
Hadi muda huu sijajua ni sababu gani hasa kwa hawa watengeneza simu kushindwa kutuwekea sehemu ya kuweka line nzima ya simu hadi tuikate.
Yaani pamoja na kututengenezea simu kubwa,Tablet nk...
Hello Wana GT. Naombeni ushauri wenu ,
Nahitaji kununua smart TV ,4k Ni ipi kati ya hizi mbili nichukue ipi please. TLC NA EVVOLI ,55"ASANTENI MUWE NA SIKU NJEMA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Salam,
Leo rafiki yangu alikosea wakati ananua salio kutoka Tigo Pesa badala ya kuandika 10,000/= akaandika 100,000/=
Bila shaka jambo hili linatokea wengi.
Hivi kwanini inawezekana kutoa...
Nimebonyeza *35*0000# nikipigiwa simu anayenipigia anajibiwa simu yangu imezuiliwa kwa mda, ila mimi nikipiga simu ninaowapigia nawapata
Nifanyaje ili tatizo hili la kutopatikana kwa wanaonipigia...
Kampuni ya Apple imesema mipango ya Teknolojia yake ya kukagua picha zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa Watoto kwa Watumiaji wa simu za iPhone imesogezwa mbele
Hatua hiyo imekuja...
Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view).
Simu yangu haina Screen cast or...
Habari za muda huu wapendwa ?
King'amuzi cha canal + ni moja ya king'amuzi kinachopendwa sana na wafanyabiashara wanaoonesha mpira kwa kuwa gharama zake ni nafuu na pia njia ya malipo ni ya...
Samsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa...
Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao
Tume ya...
Wakuu nilikua naombeni ushauri nina PC nilitaka ku update kwenda window 11 tatizo ni storage ina ssd gb 30 na HDDgb 500 je naweza ifanya HDD kuwa ya window na vip faida zake na hasara za kuachana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.