kampuni ya apple ina kawaida kutoa matoleo yake kulingana na wakati.
ila mpaka sasa wavujishaji habari kusema baada iphone 11 kwenda 12 harakana.wanaona kuwa kutakuja na iphone 13 ila mambo...
Kuna ndg anaomba msaada anasema simu yake usiku kuamkia asubuhi haionyeshi kitu kioo kipo black ila txt na phone calls anaziskia lakin simu ndio haidisplay kitu chochote.
Warranty haipo anahitaji...
Habari wakuu, nimejaza online loss report kwa ajili ya laini ya simu nimefanya malipo baada ya kutumiwa control number kila nikiingia sehemu ya kuangalia taarifa yako ili nipate kupakua ile loss...
Habarini wana jukwaa, ni matumaini yangu kuwa wengi wetu tu wazima wa afya.
Na ni wape pole wale wote walio wagonjwa pengine wapo kitandani au mahala pengine, basi Mungu awaponye na warudi katika...
Binafsi huwa natumia RescueTime: Fully Automated Time Tracking Software
Inanisaidia sana kuhakikisha sipotezi masaa kwa siku, maana mara nyingi nafanyia kazi nyumbani, na vishawishi huwa vipo...
Wadau habari,nina wazo la kupiga mihela lakini sijui kutengeneza application pia kama ni kushirikiana na wataalamu wa IT sawa tu.
Nataka kujua nianzeje,gharama zake,hatua mbalimbali nk...
Watalaam wangu wa jf nawakubali Sana msingi wa mambo yote huwa napenda kujua hapa ndani.In short me Kuna kazi ya kuajiriwa nimepata allhamdullah Ni kutoka Serikali kuu.kwa kuwa nina vitu vyote...
Salaam wakuu.
Kama kuna web developer mwenye experience na blockchain technology naomba tuwasiliane. Nina project naianza kwenye Ethereum blockchain nahitaji partne atakayetengeneza website. We...
Wanabodi habari, naomba kufahamishwa namna ya kuset blog ads banner katika mfumo wa responsive maana Kila nikiweka kwenye simu muonekano wake unakuwa mbaya ..ni code Gani nafaa kuweka..!?
Pia...
Habari wana JamiiForums,
Bila ya kupoteza muda niende kwenye mada husika napenda tubadilishane mawazo kuhusu dubwasha hili kubwa ambalo linasemekana ni 90% ya internet duniani DARK WEB.
Je...
Nina sacket zangu za kutoka kwenye fuso super great ambazo zimeungua na kusababisha gari kukosa nguvu
Naitaji msaada kama mtu anaweza kuzifix au kuzifanyia utundu wowote mpaka ziwe okay
Habari,
Nina mwanangu ana mwaka na miezi kadhaa huwa anslilia simu yangu naombeni elimu ya kutanya ili asifute vitu vyangu mule maana ye anagusa popote tu.
Jaman mwenye ufahamu anisaidie.
Pc yangu Dell inspiration inatatizo la kufungua kitu ambacho haujafungua. Yaani ukiwa unafungua hiki kinafunguka kingine out of my intention. Nimejaribu kupiga...
Naombeni msaada wenu laptop yangu ni Lenovo X240 ilikuwa nzima tu sasa nimeenda kuichaji baada ya muda nikajaribu kuiwasha ikagoma kuwaka
Unfortunately sina uzoefu nayo sana so nashindwa kujua la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.