Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Anayejua jinsi taa ya karabai inavyofanya kazi atupe maujuzi mafuta ya taa kwenye mtungi yanakuwa na Pressure (Mgandamizo mkubwa sana); pale yanapotoka panakuwa na upenyo mdogo sana , na kabla...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
Naomba mwenye android tablet ambayo angalau ina sifa hizi aniuzie; 1. storage angalau 16 gb 2.ram angalau 3 au2 gb 3. processor atleast 2GHz 4. mtandao hata iwe na wifi tu 5. isiwe ya tecno 6.iwe...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Bila shaka mu wazima wa afya njema.kama kichwa kinavojieleza hapo juu. Nina kama mwezi mmoja hivi nimesajili line ya ttcl lakini cha ajabu, nikiwa nabadikisha line kutoka sim moja kwenda simu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu msaada plz Ktk harakati za maisha nakaona nijiingize kwenye udereva mtandaoni nimefungua akaunti kadhaa za kampuni mbalimbali tatizo lipo kwenye kampuni ya uber nime upload document zote...
2 Reactions
1 Replies
902 Views
Heshima kwenu wakuu. Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida. Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Udukuzi wa fedha za kidigitali watokea nchi Japan. Kiasi cha Tsh billion 232 zadukuliwa huu ni udukuzi wa pili mkubwa kutokea ambapo wadukuzi walifanikiwa kuingia kwenye system hio ya kampuni ya...
3 Reactions
6 Replies
881 Views
Wakuu mimi naomba kujua which one is the best antvirus maaana zinakuja nyingi kila kukicha na viruses wanazaliwa upya kila dakika. help me please
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikuwa nacheki hizi movie zinazohusiana na makanpuni ya tech yalivyoanza Kuna hii The social network, hii inahusu jinsi facebook ilivyoanza. Inaonekana Mark alipewa hela na jamaa fulani...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya kukosekana kwa API bora ya malipo Tanzania. Piga kura yako hapa na uache maelezo ambayo ungependa mamlaka husika zifanyie kazi. Pamoja nu kuelezea mambo...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari ya mchana, Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya Mobile Application Desktop Application Website Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf, Husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba mwenye link ya Game la Euro bus Simulator 2 anisaidie au kunielekeza namna la kulidownload free. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa Muda Nimetumia app inaitwa anybooks kusoma Vitabu lakini Kwa sasa haifanyi Kazi. Inaandika saver not found /Error. Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
895 Views
Habari zenu wapendwa. Nilikuwa naomba msaada juu ya usukaji wa mota za aina zote yani Three phase na single.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za majukumu? Naomba msaada ili niweze kuendelea kutumia Microsoft Office. Nikifungua office yoyote naambiwa niingize office product key, hizi product key ninazitoa wapi na hili tatizo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenye kuweza kunisaidia Antivirus ambayo ni free ili niweze kufanya configure kwenye PC.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani wadau nisaidie kuchagua ninunue simu ipi yenye camera ilio nzuri na yenye network kubwa 4G. Nisaidie tafadhali mfano kama ni Samsung ni ipi aina gani? Naombeni msaada
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani. Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2. Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mnalionaje hili? kuna mtu alimfata Developer akamwambia kuwa ana idea waitengenezee software, Developer akamwuliza tafiti uliyofanya iko wapi? MDAU AKABAKI ANANG'AANG'AAA MACHO TU BAADA YA MUDA...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu. Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell. Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom