Wana body natanguliza shukran,
Nina google pixel 3a xl Jana kuna mtu ametoka nayo msumbiji ilivyokuja nimeweka line ya airtel imesoma fresh nikaweka hela na nikajiunga kifurushi na data nikawasha...
Waungwana nimejaribu kufanya hivyo nimejikuta natumbukia kwenye website ya nsa.go.
Je hiyo kitaalamu imekaaje? Kuna uhusiano wowote baina ya hilo neno illuminati na hao jamaa wa national security ag?
Habari ndugu zangu katika teknolojia nahitaji msaada wenu ni wiki kadhaa sasa kuanzia nimejiunga na mtandao wa matangazo wa hapa bongo wa seebait lakini nashindwa jinsi ya kui-verify akaunti yangu...
Habari zenu wakuu, Nilikuwa nina baadhi ya maswali kuhusu huu Mtandao wa matangazo wa seebait
1. Jinsi wanavyolipa ( PPC, CPM or CPA ) Na Kama kwenye PPC, How Much Cost Per Click ??
2...
Kama kuna habari mbaya niliyopokea weekend hii, ni ya netflix kutotoa tena swahili subtitles. Hii ina maana fursa moja imefungana hii ni kutokana kwamba kulikuwa na malalamiko mengi ya subtitles...
Hii ni kifaa cha kampuni fulani.nimekinunua kwa hela nyingi lakini mwisho wa siku kikawa hakina kazi kutokana na mtandao husika kutokuwa na coverage kwenye remote areas.Coverage ipo mijini tu.Ni...
Hellow GT habari ya muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnifahamishe Desktop kwa ajili ya kazi ya video graphics Inapaswa kuwa na sifa gani, pia bei zake za mwisho ni tzs ngapi...
Mara nyingi huwa watu wanapost humu kuwa wanataka kujifunza programming na hawajui waanze wapi.
Ukiwa beginner kupata resources nzuri zenye mpangilio mzuri ni mtihani kwa wengi.
Challenge...
Habari wanajamii forum,
Naomba kuuliza hvi kama mtu anatumia Spy App na anakuchunguza utajuaje? Maana nahisi boss wetu anaspy App na Je, nitajitoaje ili asinispy?
Naombeni ushauri.
Ahsante wakuu
Mambo vp wanajamvi, je unatamani kuwekeza katika tekinolojia lakini bado unasuasua, au ww ni Technopreneur na unahitaji kuongeza faida?
Hata mpango uko hivi, kuna tekinolojia hii inayotrend kwa...
Wadau nimeagiza begi mtandaoni na limenifikia yapata wiki sasa. Kwenye mkono wa kubebea kuna USB port. Hivi kazi yake ni nini kwa wenye utaalam? Nimeuliza ofisini hamna anayejua
Habari wakuu...
Tupeane experience, hivi samsung s9 bado ni chaguo zuri kununua mwaka huu 2021 na mtanzania wa kawaida, Kufwatana na sifa zake... Ama ishapitwa na wakati?
Na kwanini?
HELLO
Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno.
Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.