Wakuu simu hizi aina mbili. Ipi itanifaa zaidi kati ya hizi mbili? Nataka nichukue moja Kati ya hizi. Ubora, kudumu, performance, na vingine vingi. Nan Zaidi?
Niliwahi ku deactivate account ya Facebook permenent ila nikashangaa nikaja ku log baada ya muda ikakubali so nataka nijue ninafanyaje kuifunga kabisa isiwepo Tena katika mtandao.
Chief-Mkwawa
hello za wekend wakuu,
Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina...
Naomba mawazo nataka nitengeneze program ambayo itumike kuzuia watu wanaorudia research. Yaani research ikiingizwa ilete watu ambao wamefanya hiyo research.
Ina maana research zote zilizofanywa...
Mbezi, Dar es salaam ---- The capacities of mobile technology include enhanced communication via SMS messaging, as well as more accessible online education. Internet-based services are growing in...
Check this short article!
An interviewer asked me to reverse a string without built in functions.
What is the point in that if the built in functions are there to help developers?
Answer...
Tusaidiane kuzijua top ten apps ambazo ni Tanzanian made
Juzi nimeona watu wameitaja Sarafu na siijui ni app inahusu nini?
Hebu tuzitaje hapa Apps zote za Tanzania ambazo zina impact
Teknolojia inaonekana kuwa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kote watu waliojikita kwenye teknolojia hufanikiwa zaidi na kurahisisha vipato vyao.
Matumizi ya simu kwa watu wenye ujuzi wa...
Habari wakuu.
Naomba kujua kama hii application ya free basics inayowezesha kuperuzi bure mitandao kama Jamii Forum n.k imeondolewa maana nikitaka kuingia haikubali kama zamani.
Ndugu Mashabiki wa OPPO nipo katika savey ya simu tajwa. Ninalinganisha bei nipate uelewa. Je, kwa sasa simu hizi zikiwa mpyaa, OG zinacheza shilingi ngapi hapo mjini kwenu? Wale mliopo jirani na...
Wadau kuna hii kitu nimekuwa nikisikia kwa miaka
mingi kuwa unaweza kuzalisha umeme kwa kutumia
choo (UMEME WA CHOONI),
Naomba mwenye maelezo ya jinsi unavyoweza
kutengeneza umeme huu anipatie...
SQL Injection (SQLi) is a type of an injection attack that makes it possible to execute malicious SQL statements. These statements control a database server behind a web application. Attackers can...
SSD vs HDD Most people now buy laptops for their computing needs and have to make the decision between getting either a Solid State Drive (SSD) or Hard Disk Drive (HDD) as the storage...
Wakuu nina tatizo moja hapa
Nilituma email kama siku mbili zilizo pita na email ilikua ya muhimu sana sasa leo ndo napokea taarifa kutoka gmail kuwa email imechelewa kufika kwa mtu husika na...
Members msaada, nahitaj kuapdate mannual samsung note 4 ifike android 6, kwenye web ya samsung ukitaka kidownload wanataka uchague nchi ila tanzania haipo, nichague nchi ipo hapo au yoyote tu...
Wadau habari zenu?
Nipo Dar kwa sasa, lakini kama mjuavyo kwenye majiji ya watu kuna kununua kitu ukapigwa na kikawa bado hakifai , nimekuja kwenu mnielekeze wapi nitapata betri original kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.