Kuna siku nlipost jambo la siri huku nashangaa rafiki zangu wanaonifahamu wakaanza kunishangaa na kunipigia simu ebu nisaidieni nlikosea wapi na huku najua ni siri?
Eeh!
Ndo hivyo kwa mwenye uelewa wa hii kitu
Well, nmefanikiwa kufanya mtu asiweze ni add kwenye grp bila mimi kutaka
Sasa nataka niweze kutoka kwenye group bila kuonyesha kuwa this guy "left"...
Kama title inavyojieleza hapo juu.
Channel yangu ina subscribers wachache mno, viewrs nao hawajawahi kufika hata 100, jambo linalopelekea nishindwe ku manetize channel yangu kwasababu sijakidhi...
Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa.
Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale.
Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming...
Wadau kuna kitu nakihisi kama kipo kwenye simu za Samsung S series.
Kila ikifika muda fulani kuanzia jioni mara nyingi nashindwa kufungua videos kwa whatsapp au haga instagram au twitter au hata...
Nadhani niliwasikia vizuri Yanga wakisema app yao iliwaingizia 100m. App hiyo waliiweka January 2020 na inaonyesha install 100k ambayo inweza kuwa hadi karibia na 500k.
Waliwezajekuingiza pesa hizo?
Wakuu habari zenu,
Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp
Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
Kiongozi wa Hong Kong amepuuza onyo na Kampuni kubwa za Teknolojia zikiwemo Google, Facebook na Twitter zilizosema zinaweza kuacha kutoa huduma katika Jiji hilo ikiwa Mamlaka zitaendelea na Sheria...
Habari za muda huu,
Nauliza kama inawezekana kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia Serial Number pekee maana simu ni network lock, iphone 11
Kibaya zaidi ilikua haina icloud ndani, nauliza kwa...
Nina sumsung galaxy s7 ila betry inazingua ikifika hata 64%inazima nakuwaka yenyewe,hapo nikuanza kuwaka na kuzima tu mpaka uichaji tena ijae yaani mtihani kweli kweli.
Je, yaweza kuwa tatizo nini?
Wadau naomba msaada wa kujuzwa namna ya kubaini mahali ilipo simu kwa kutumia aidha serial number au imei number
Naomba kwa anayefahamu wapi kwa Dar es Salaam au Arusha naweza kupata msaada wa...
Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
Mambo vipi?
Kama kijana mpambanaji nimejikuta naingia kwenye issues za facebook pages kwa lengo la kutangaza business zangu za hapa na pale...
The only issue nilonayo ni kuifanya page yangu...
Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.
Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa...
Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.