Habari wakuu
Nina dokumenti za vitabu vya zamani kutoka maktaba ya mzee nahitaji kuvibadilisha kuwa katika microsoft word ili niweze kuhariri.
mfano wa maandishi. Natambua teknolojia imekuwa kwa...
Wadau kwema, naomba kujua hivi kwenye kupakua movie kuna Apk ninayo ya kudownload movie ila sasa kuna kitu huwa nakiona,
Chini kwenye movie yenyewe huwa kuna kialama cha nyota ya cha njano harafu...
Wadau habari naomba kwa wale wazoefu wa telegram wanisaidie link nzuri za habari na matukio za ndani ya nchi hata za nje ya nchi na ya michezo hasa ligi ya hapa kwetu.
Asanteni.
Kama ume unda group la what's up uka add member halafu ghafla uka left group Nani anakuwa anakaimu nafasi yako au linabaki vipi je watakuwa wanatuma meseji Kama kawaida .nataka kujua linabakiaje
Habari wana jamvi.....
Nina Pc yangu aina ya dell ilipatwa na tatizo gafla ambalo imekuwa changamoto kutatuka. Siku moja niliiwasha Pc yangu lakin cha kushangaza ukaja mwanga mweupe tuu. Nikazima...
Nahitaji kununua Laptop sehemu, tangazo linaonesha Laptop ni Core i5 lakini processor speed ni 1 GHZ, nawauliza why processor Ipo chini sana wanajibu hizo ni processor mpya na anzia hapo hawajibu...
Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea.
Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni mgeni kwenye matumizi ya PS na hii mission ya kwanza kwenye PS3 nataka niskip lakini sifahamu yeyote anayejua msaada tafadhali.
Call me dumb!
This is just magic.
Ukiniuliza mimi nitakuambia Mungu amewafungulia binadamu muongozo tu wa kufanya ili wapate computer. Lakini hata wanaozitengeneza hawajui zinafanyaje kazi.
Ndugu msaada, nina Epson 850 nataka kuprint PVC card na tray ninayo. Je ile program nitaipataje maana hata jina siijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mchana wana Jamii naomba kufahamu jinsi au ni app gani inayo weza nikipiga video call watsap nimeze kumrecod au nikipigiwa.
Asanteni nategemea kupata ushirikiano wa kutosha
Take the following IPv4 address: 128.32.10.1
This address has 4 octets where each octet is a single byte (or 8 bits).
1st octet 128 has the binary representation: 10000000
2nd octet 32 has the...
Habarini, naomba kujuzwa katika hizi flat screen za wananchi wa kipato cha kawaida, ni ipi bora kuliko zingine?
-Star-X tv
-Aborder tv
-Sundar tv
Hapa siongelei zile za kibosile kama Sony, LG na...
Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.