Habari wanajukwaa,
Nina mashine yangu ya PS4 FAT, Kuna siku ilizima ghafla, Tangu izime inashindwa kuwaka ukibonyeza inatoa tu mwanga wa blue kwa sekunde kadhaa then inazima haimalizi kuwaka...
Nina simu aina ya Samsung Galaxy A30, kila mara inaonesha internal memory full, na inashindwa ku-operate kabisa, hadi ninalazimika kuzima simu na kuiwasha tena ndio kidogo inakuwa na free space...
Wadau habari za siku, naimani mko njema na siku zinaenda kwa uwezo wake aliye juu.
Kumekuwa na utofauti sana wa kimatumizi ya vifaa vyetu vingi vya mikononi (hasa simu). Imefika kipindi mtu...
Hallo,
Najaribu ku update taarifa kwenye database inanikatalia kila nikijaribu code zinagoma sijajua wapi nimekosea wana IT.
Ila nimejaribu kuingiza I'd manual inakubali ku update hiyo I'd...
Habari zenu wana JF.
Kama ulishawahi ku download Clubhouse ila hukuweza kutumia kwa sababu hukuwa invited.
Nina 10 invites kama utahitaji nijulishe niku invite for free.
Kizuri kula la mwenzako.
Wakuu kama inavojulikana kuwa jf ni kisima cha maarifa ...leo nakuja na tatizo nahitaji msaada
Ni hivi pc yangu kuanzia Jana inazingua kile kidude cha kuzungushia kassa imean kile kinakua pamoja...
Wadau ninahitaji msaada,
Nina login Twitter, inahitaji ni verify namba. Licha ya kuweka namba, na wao kuniambia kuwa wametuma ujumbe, siupati. Nimesumbuka zaidi ya week sasa.
Nimejaribu...
Kampuni ya LG Electronics leo imesema itafunga Biashara yake ya utengenezaji wa simu janja ambayo kwa takriban miaka sita imepata hasara inayofikia Dola za Marekani Bilioni 4.5
Kampuni hiyo ya...
Wadukuzi walilipwa karibu dola milioni 5 ili kuanzishwa tena kwa shughuli za Colonial Pipeline, moja ya kampuni kubwa zaidi za mafuta nchini Marekani (USA), ambayo ilifungwa kwa muda kutokana na...
Ushawahi kujiuliza kwanini ukigoogle kitu inakuwaje kuna tovuti zinatokea juu na nyingine chini. Yani mfano unaweza kugoogle coronavirus, ikakwambia kuna majibu billion tatu sasa inakuaje kuna...
Habari za leo wadau, naomba msaada wa software inayoendana na pc yangu, ninatumia Microsoft surface go yenye RAM ya gb 8 na proccesor ya Intel(R) Pentium(R) CPU 4415Y @ 1.60GHz 1.61 GHz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.