Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakulungwa, natumaini mko poa kabisa. kuna best yangu mmoja hajawaiii tumia iphone na niseme ukweli na mimi mmoja wapo na sababu tu sizipendi kwakuwa nasikia zina limit na mambo ya kuto...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu nina simu yangu samsung note 5, nataka nibadili imei namba nipeni ujuz jinsi ya kufanya. Nimesaidiwa mengi jukwaa hili hope na hili nitasaidiwa. Natanguliza shukrani. Sent from my SM-N960F...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam! Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habar wa kuu. Naitaji kujua kati ya simu za Oppo na Samsung ipi nzuri kutumia na ipi ya gharama nafuu. Ipi yenye ubora wa chaji.
5 Reactions
66 Replies
12K Views
Habari zenu, Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo. Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani. Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari ya mda huu wana JF Kama kichwa kinavyojieleza wadau Hivi hakuna application inayoweza kutafsiri sauti ya kwenye video au audio ya kwenye video
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Ndugu wana JamiiForums forum naomba msaada kwa mwenye kujua Jinsi ya kurekebisha hiyo simu. Ilikuwa na line mbili inashida ya network kwenye upande wa data , ila kupiga inafanya kazi kama kawaida...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari, Mm ni fundi simu na ninapenda kuzidi kujikita zaidi katika kupata maarifa mapya ya kazi yangu so kuna suala la kubadilisha Memory (internal), Proccessor, Power IC. Napenda kujua...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji kununua fridge ni brand gani nzuri ya kuendana na bajeti yangu ya laki 6?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau nimetembelea mtandao wa Ali Express kuna simu mbalimbali nimeziona kule na kwa bei nzuri simu kama qukutel n.k. Je, nikiagiza haziwezi kuja kuleta shida bongo au tayari jamaaa washaiweka...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
Msaada nimekuwa nikifuatilia mikutano,kongamano AMA hata mahakama Kuna kifaa hutumika ku translate lugha mbalimbali mfano kiswahili kwenda kijerumani,kiingereza nk. Na kinakua ear phone/head phone...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kuna simu hapa infinity hot6 x Inashida imekata network kbsa ya mtandao wowote, Yaana inaonyesha kabsa line zipo lakini network aishiki, Tukiangalia upande was hardware Hamna shida yyote...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
1: SAMSUNG • Ni kampuni ya vifaa umeme iliyopo Korea Kusini. Wana shika nafasi ya 1 kutokana na ubora wa simu zao kama; Galaxy S20, Galaxy S11, Note 10 n.k. 2: HUAWEI • Hii ni kampuni kutoka...
13 Reactions
112 Replies
30K Views
fanya haya kuokoa maisha yako kwenye simu Wengi wetu siku hizi tunaweka password / pattern katika simu zetu kwa ajli ya kuweka ulinzi katika simu, hali hii humpa mtu wakati mgumu wa kufungua...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Anaejua namna ya kufanya hii s pen i connect mweny simu naomba msaada yaaan ni kwamba inafanya kazi kama kawaida ina sense vizur na kila kitu kipo sawa isipokuwa hilo la kucconect maana isipo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello 👋🏼 tech geeks! Kwanza nahitaji kujua michezo ya karata kama last card na robo sitini (informally: alba stin) inapatikana kwenye app stores na inaitwaje. Nimeona michezo kama poker...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ya mwaka mpya waungwana. Nimekuwa nikitatizwa sana na hili jambo,naombeni wenye uelewa wanisaididie ili na wengine wenye interest ya kujua wanufaike. Nataka kujua,ile "tochi" ya matrafiki...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Nimenunua headphones kwa ajili ya sports Mostly Jogging But hazikai kwa sikio zinateleza kwa jasho. Headphones nzuri kwa sports Ni zipi na Bei gani? Moderator naomba unibadilishie heading...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau wa sayansi habarini. Hivi kuna simu yenye kuonesha saa na sekunde kwenye screen? Kama ipo picha tafadhali.
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwenye kujua jina la hili game? Nakumbukaga nilichezaga zamani sana kwenye pc na kama una mage mengine ambayo latest ya mtindo huu naomba pia majina.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom