Salaam wakuu,
Straight to the point, simu yangu imeanza behavior Moja ya ajabu sana. Baadhi ya apps hazifunguki (zinazotumia internet access), kwa mfano uc browser turbo ilikua my favorite...
Simu ie smartphone, inaweza kuwa na jina kubwa au umbo zuri lakini ikakusumbua kutokana na uwezo mdogo ie uwezo usioendana na mahitaji yako.
Hivyo kuna mambo ya kuzingatia unaponunua simu ili...
Habari wadau..
Kama kichwa kinavyojieleza, tuajua technology inakwenda kasi na mambo yanabadilika sana. So ningependa kujua kwa range ya budget hiyo simu gani nzuri naweza nikapata maana nataka...
Wakuu.
Nilikua nauliza mini maana ya breadcrumbs issues detected kwasababu Mimi nilikua na blog yangu na baadae nili submit kwenye sitemap ilichukua wiki tatu tu wakanitumia icho kitu na sasa...
Habari ya siku wanajamii, naomba kuwauliza mafundi wa humu JamiiForums. Ngoja niende kwenye lengo la uzi kabisa.
Mimi nina Tv aina ya LED [HDMI] nch 19. Sasa nina mda kitambo sipo home...
Habarini wapendwa naombeni kujua programme au softaware yoyote ya kuitambua simu iliyoibiwa ilipo kwa kutumia IMEI namba
Tablet yangu imeibiwa sasa nina imei namba moja nataka niitrack ilipo
Habari za muda huu mwez mmoja uliopita nilikuwa na samsung note 9, kuna mtu alikuja na oppo A93 kwa kuwa nilipenda ile simu nilibadilishana naye, nilipo kuja mwambia rafiki yangu mmoja alinicheka...
Nawasalimu kwa jina la yeye aliyetuumba,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kufatilia hizi android TV ama smart TV nimegundua nyingi zina in bulit decoder hivyo mtu akipata antenna au dishi...
Nilipokuwa mdogo nlipenda sana game nilikuwa nkiona computer nachanganyikiwa kinachonijia akilini ni game kipndi kile nlikuwa sina uwezo wa kumiliki computer, washkaji zangu walipo kuja kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.