Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Afrika bado sana, wakati serikali zetu zinapuyanga kwenye siasa za kuumiza wananchi wake na kufikilia kumuweka mtawala afie madaraka wengine wanasafiri. MADA: Nimekuwa nafuatilia hawa waarabu...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna watu wamehamia kwenye bidhaa za Germany wanazisifia sana, mfano wale wazee wa magari wanazipigia debe VW, naomba maelezo juu ya hii simu janja Carbon 1 MK II. Ni simu yenye yenye muundo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajukwaa naomba tujuzane ili kwa anayefahamu kuna izi PC sina akika kama ni za kisasa au vipi Zenyewe ni za chrome. yaan kama ni hp basi HP chrome au lenovo chrome. Inasemekana ukitaka...
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Wajuvi natumia Oppo A9 2020 yenye RAM 8gb na ROM 128gb Mimi ni mgeni kwenye hizi simu yeyoye anayejua Jinsi ya ku-update Android kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini, naombeni msaada kwa mwenye link yoyote ya crack ya ms office ya mwaka wowote tafadhari anisaidie. Nilikua na setup zangu nyingi ya mwaka 2013, 2016 na 2019 kwa bahati mbaya nilifanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wana jf kwanza habarini. Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu au ufahamu wa hii kitu. Mimi nimenunua subwoofer aina sea piano 8800 lakini kila nikajaiwasha ili nisikilize mziki either...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, ni website gani nitumie kutuma sms/mms? natumia kitochi chenye browser ya opera mini. Msaada tafadhali!
1 Reactions
4 Replies
2K Views
matumaini yangu ni mzima wa afya.. Leo ntaelekeza ni namna gani unaweza ku-install window 7 kwenye simu yako ya mkononi, najua itakushangaza sana ila nirahisi mno. kinachoitajika ni umakini wako...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Katika Sayansi ya anga,Ulimwengu na Teknolojia zake kuna kitu kinaitwa "Paralle Universe" au Ulimwengu sambamba, huu ni ulimwengu "dunia dhahania" ,ambao unasemekana kuwepo ingawa haugunduliki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JIFUNZE KUHUSU RESISTOR Resistor ambapo katika saketi huwa na alama ya "R" ni kifaa cha umeme ambacho kinafanya kazi ya kupunguza mtiliriko wa umeme katika saketi ya umeme. Resistor hutumika...
6 Reactions
9 Replies
14K Views
Naomba kujua kama Epson L210 inaweza kuprint labels. Pia gharama zake kwa hapa Dar es Salaam ni Tsh ngapi? Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya majaribio kadhaa sasa Facebook imeanzisha Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki na takribani mataifa 170. Instagram Lite inakuja kama mtoto anayefuata baada ya Facebook Lite. Instagram...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tafadhali naomba kwenye kujua namna ya kubadili password katika modem/router ya smile. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari, Nahitaji kupanga matokeo ya wanafunzi kwa kuzipanga sheets yaani sheet ya kwanza iwe na alama , sheet ya pili iwe na matokeo, sheet ya tatu iwe na grade!! Yaani sheet zifanye kazi kwa...
3 Reactions
3 Replies
926 Views
Za jioni wana JF Nauliza hivi na nyie YouTube haifanyi kazi!? Mda mdogo ulo isha nilikua nachek movie, mara ikagoma.
1 Reactions
10 Replies
657 Views
<?php session_start(); $servername="localhost"; $username="root"; $password=""; $dbname="hms"; $conn=mysqli_connect($servername,$username,$password,$dbname); if($_SERVER["REQUEST_METHOD"] ==...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kochi la kipekee lililobonuwa na mtanzania na kutengenezwa Tanzania likiwa na Music system yenye Bluetooth, FM radio, USB port, SD port, built-in AUX cord. Pia likiwa na Shelf, Taa, Draw, na...
3 Reactions
9 Replies
787 Views
Sasa ni rasmi Spotify inapatikana Tanzania na Afrika Mashariki. Baada ya miaka kadhaa wapenzi wa muziki na maudhui ya sauti, waliokiwa wakisubiri kwa hamu ujio wa Spotify Afrika na Afrika...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
Hapa karibuni kma siku 3 hivi zilizopita Internet speed zimekua mbovu sana. Natumia Voda na TTCL. Yaani speed imeshuka sana. Kwenye spend nilikua napata hadi 20mbps download lakini sasa napata 1...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, natumia Lenovo T420 Core i5, HDD 320, Ram 4 GB. Graphic card 3000. Je, naweza kufanya 3D animation? Kama naweza je ni app/ software gani itaweza run kwenye hii pc? Na kama siwezi je...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom