Kabla ya yote kwanza naomba ufafanuzi juu ya vitu hivi kama vina utofauti. IT, ICT & Computer science. Baada ya hapo naomba kufahamu ni wapi hapa Tanzania naweza kupata elimu nzuri ya masomo hayo...
Sasa hivi hakuna maadili ya kazi katika taasisi za mawasiliano, na hili halizungumzwi na wahusika.
Ni vyepesi sana kuibiwa simu na sim card zikiwemo, na Kibaya zaidi ukichelewa kurenew ndani ya...
Habarini wadau,
Nahitaji kutuma data kwenye server kwa kutumia mobile app kwa njia ya web service, hizo data zitabeba iterm name na price then id inakuwa auto increment, nimetengeneza db kwenye...
nafanya my project ya kubid vifaa sasa hapa nachotaka hili file la kwanza mtu akibid now ieende "orderform.php" tatizo ni hilo fail la pili inaexecute 'tv' na linaretrive data za watu waliobid...
wakuu,
msaada kuhusu configuration za mms za voda, nahitaji kutuma mms kwa mtu.
nmejaribu kupiga huduma kwa wateja lakini hawapokei simu. nikajaribu kutuma sms ya neno mms kwenda 15300 lakini...
Mi ni muhitimu wa kada ualimu.
Nimemaliza chuo mwaka 2019 nipo tuu mtaani.
Napatikana mkoani nimeona kuna fursa ya kuweka games hapa tunapoishi, nipo tayari kuwa mwanafunzi wa hii kitu na...
Upo kwenye simu janja yako muda wote? Muda wote imeunganishwa kwenye mtandao unavyosogoa na marafiki kupitia Whatsapp, Instagram na mitandao mingine ya kijamii?
Upo kwenye hatari ya wizi wa...
Leo tupeane ujuzi kuhusu AC aka viyoyozi je ni kweli huwa zinatumia unit hadi 35 hadi 40 kwa zikiwasha masaa 24?
Wenye AC mje mtupe ushuhuda huwa mnatumia vipi na huwa inatumia units ngapi kwa...
Miaka 3 iliyopita serikali ya Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi kampuni ya vifaa vya mawasiliano ya China, Huawei kwa sababu za kiusalama.
Vikwazo vilianza kung'ata mwaka jana Huawei...
Kila nikiwasha pc inaandika
Boot device not found
Please install an operating system on your hard disk.
F2 system Diagnostics
Tatizo nini hapa wataalamu
Wakuu nimeibiwa Leo iPhone 12 pro max na kijana wa kazi na kutokomea nayo.
Je, ni kwa namna gani naweza ipata?
=============================
Nilifanikiwa kuipata hii simu.
Mimi ni mtumiaji wa VS code na Brackets editor, lakini huwa naona Brackets ni nzuri sana, yaani kuna mguso flani nikiwa naitumia especially napocheza na UI dah! kutoisupport hii kitu ni mawazo...
Nahitaji kununua projector kwa ajili ya kufundishia watu kama 150 hivi
Iwe inatoa picha/Michoro mikubwa na ya rangi
maandishi makubwa yanayosomeka
Display yake iwe kubwa kwa kuwa watu tarajiwa ni...
3 Nobel Prize winners in the one family. Marie Curie (physics & chemistry). Pierre Curie (physics) & their daughter Irene-Joliot Curie (chemistry) making them the most Nobel laureates family to...
Over a third (38%) of women working in the IT and tech industry claim that a lack of females in the sector made them wary of entering the profession, according to Kaspersky’s latest Women in Tech...
Wakuu, nimekuwa nikisumbuka hasa kupata activation keys mara lincence za ms office versions.
Nahitaji tushirikishane softwares nyingine ambazo ni mbadala ukiachana na MS offices.
Mimi nazifahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.