Wakuu nimetengeneza app sasa niliweka matangazo ya admob lakini hayaonekeni nikaamua niingie startapp na matangazo nayaona katika app yangu ila sijajua kama mtandao huu unalipa na nitapata kiasi...
Nilipata update ya Android 11 kwenye note 20 ultra yangu wiki 2 zilizopita, juzi jumamosi nikaamua niipakue na kui-install. Kwa siku 2 hizi nimekua nikijaribu kutafta ama nione kitu cha tofauti...
Nna laptop yangu ni HP Compaq, toka nilipo nunua ilikuwa natumia iko poa ila kuanzia juzi imeleta tatizo, ukiwasha inawaka ikitoa logo ya hp haiendelei, au wakati mwengine nawaka mpaka mwisho na...
Wakuu naomba msaada nini cha kufanya maana nimevumilia yamenishinda, naunga 1GB natumia kidogo tu zinakata nkicheki kwenye matumizi ya data nakuta Samsung Cloud imekula 800MB, tatizo ni nini?
Habari nina iphone 5s nikiweka mtandao wa 4g ama 3g nikipigiwa simu inakuwa busy nakuwa siwezi kupiga wala kupigiwa ila msg natuma ila nikiset mtandao wa 2g simu zinaingia na kutoka kama kawaida.
Simu yangu ni Samsung S 8
Nilikuwa najaribu ku-update WhatsApp lakini nimeshindwa.
Nimejaribu ku uninstall ili niirudishe upya pia imeshindikana.
Kinachotokea nikiingia kwenye google play...
Kuna baadhi ya mabadiliko ya APIs na kuna baadhi ya feature pia.
Hii ni developer preview kwa maana kuwa ipo basic sana na features nyingi bado hazijafika. Lengo lake hii ni kuwapa developers...
Computer imejaa lakini nimegundua vitu vipo mara mbili mbili au zaidi. Yaani faili hilohilo lipo locations tofauti tofauti.
Je, naweza kuserch na kufuta at once libaki file moja tu.
Habari wakuu kwema?
Naomba kama kuna mwana jf humu ana kile kipeperushi cha star times kinachoonesha channel na kifurushi chake na malipo anaweza kunitumia hapa,
Ili nijue au kuchagua ninunue...
*RTC battery is low or CMOS checksum is inconsistent * Press [F1] key to set Date/Time. Nimejaribu kubonyeza F1 lakini hakuna chochote kinachotokea. Msaada plz!!!
I am doing a project titled decoupling technique for antennas and high isolation my code is in matlab software i cant get correct graphs for isolation and return loss of antenna(below -10dB before...
Habari humu wadau wa jukwaa hili?
Aseee naomba kujua Instagram niende wapi ili nikiwa naingia kuangalia video za mule zisiwe zinacheza maana naona bando linakuwa linaisha sana, yani niweke off...
Wapendwa naombeni msaada wenu niweze kuroot simu yangu, ni sony xperia z3 compact running android 6.0.1, nimejaribu kingoroot wapi, ila sijajaribu king root make sipend king user mi nahitaji super...
Kwa Miaka kadhaa nimekuwa mtumiaji mzuri wa Note na S series za Samsung, pia nimejaribu J series kidogo though sikupendezwa sana.
Hapa Majuzi kama miezi miwili iliyopita nikaamua nijaribu kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.