Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuinstall ios 13, nimepita mtandaoni naona taharifa zinanichanganya tu. Kama kuna mtu alifanikiwa/kafanikiwa naomba maelezo, nimeona hii beta version naomba cons na...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu naombeni ushauri kati ya hizi gari mbili ipi ni bora zaidi kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, spare parts na nguvu.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kama kuna Mtaalam mwenye Software ya KING'AMUZI aina DVB T-T2 Receiver anisaidie Kama kuna mtu Mwenye Software ya KING'AMUZI Aina ya DVB - T - T2 Receiver naomba tuwasiliane Inbox...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, kama inavyojieleza hapo juu nina kitv changu hapa cha Sundar na kisabufa cha Seapiano ila tangu ninunue hivi vitu nikiunganisha tv na bufa kunakuwepo na kutokutoka kwa bass ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
5G is coming with iphone 12. Ceramic shield dispaly that goes beyond glass. A14 bionic processor. Camera: 12 mp.
8 Reactions
386 Replies
31K Views
Mimi sipo vizuri sana kwenye maswala ya digital marketing nahitaji kujua vitu viwili kutoka kwenye hii kitu. 1: Kipi hutokea kama hujaweka kabisa audience's interest inamaana itapiga viral au ita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu angu aina ya samsung galaxy a20 muda mwingi inaandika emergence call kwa line zote mbili kuna muda network inashika na kuna muda network inakata. Nimewapelekea mafundi kila fundi anasema...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau habari za kwenu, Naomba kujua king'amuzi bora chenye kukidhi viwango , haki scrachi, na vigezo vinginevyo vyenye kukidhi neno ubora
2 Reactions
361 Replies
82K Views
Wakuu, husikeni na kichwa Cha hii thread. Mkinipa Bei zake ntashukuru zaida
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba nisaidie kutype fraction ndefu. Kwa mfano maneno "Distance travelled by the body " yawe numerator na maneno "time taken" yawe denominator. Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
4 Replies
694 Views
My 6.066 BTC was stolen from my wallet. How do I recover them? I know the feeling of your money disappearing without you know where to start searching for it especially in the form of...
1 Reactions
3 Replies
728 Views
Jana nilikuwa ninasoma kuhusu franchise ya the matrix, nilistaajabu kwamba filamu ya the matrix revolution ilihusisha wataalaamu wa hesabu, aerodynamics, fluid dynamics, physics, computer...
24 Reactions
118 Replies
9K Views
Habarini wakuu,saa 3 usiku wa leo nlihamisha 8500 kutoka airtel kwenda sportpesa, bahati mbaya nimekosea codes pesa ikaenda pasipojulikana. Nawezaje kuirudisha pesa yangu? Msaada wakubwa...
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Msaada tafadhali, Files zangu zote zimekua encrypted na uyo jamaa apo juu. Files zote zimekua na Extension ya (.kasp) siwez ku access chochote. Mwenye kujua Removal Tool, au njia yeyote ya kumtoa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nina shida sana na copy ya kitambulisho cha kwaajili ya bank akaunt nilipewa emaili ya meneja wa NIDA wa Iringa lakini maeneo ya kazi wanakwepa kutuma barua ya dharula kwa njia ya email kuna...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumia voda network ya kupiga simu wala kutuma msg hamna ila internet inawezekana kwani ni network mbili tofauti??
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana jamvi nipo natafuta kioo laptop ambayo ni hiyo niliyoitaja hapo juu.pia kiwe cha led na ni nchi 15.6 kama sijakosea. Taja bei na namba ya simu tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Jamani wanajf nilikuwaa nauliza kama hizi simu zetu za smartphone zina uwezo mzuri wa kijikinga na radi pindi unapoitumia wakatii mvua kubwa na ngurumo za radi. Nauliza hivi kwa sababu hapa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za sabato wana jf. Naomba kusaidiwa maswali haya 1. Nini madhara ya kupiga windo mara kwa mara mfano kila baada ya mwezi window baada ya wiki mbili window nini madhara. 2. Window...
0 Reactions
6 Replies
39K Views
Habari wanajamvi, Kwa wazoefu, nilitaka kujua jinsi ya kuwithdraw from Transferwise to my own MPESA account. Msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Back
Top Bottom