Asalaam aleikum. Najivunia jf lakin najivunia zaidi watanzania wana moyo wa kutoa ushauri inapobidi. Mambo ya mind your own bussiness si utamaduni wetu. Nimenufaika mno na ushauri ninaopataga jf...
Wasaalam wanajukwaa hili.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana...
Ndugu members wa jamii forum naombeni msaada, Pc yangu dell inspiron 3521 core i3 3rd generation na 4GB RAM, inazingua ukifungua file manager mwanzoni inafanya kazi fresh, lakin baadae thumbnail...
Habari wanajamii nimetumia kwa muda mrefu hii application ya facebook lite sasa nimeona nijaribu kutumia hii nyingine facebook ingawa inachukua space kubwa.
Sasa nimeshtushwa na ulaji wake wa...
Habari za wakati wakubwa
Kuna jambo linanitatiza
Ambalo kwa hakika humu ndimo sehemu ya kupata majibu.
Nafahamu ya kua kwenye gari kuna engine-transmission line(gia box)-kisha wheels
Nafahamu...
Wakuu naomba mwenye kufahamu kampuni ambayo inahusika na usambazaji wa hizo mashine za music, zile za kudumbukiza coins, anipe mawasiliano nayo, nipo Dar, nahitaji moja kuna sehemu yangu ya...
Habari wana jamvi,
Natumia tecno camon X,kuna simu zilipigwa nili record mazungumzo wakati tunaongea,kwa bahati mbaya nikafuta zile record nifanyaje ili niweze kuzipata tena wataalamu naomba...
Natumaini nyote mmeamka salama, Msaada tafadhari Simu yangu imekuwa na tatizo la upigaji camera kila ninapopiga picha inakuwa na ukungu hata haionyeshi,tatizo hili limeanza gafla,kipindi cha nyuma...
Habarini ndugu asubuhi nimeamka nikachonga na mshkaji mmoja anailekebishie PC yangu kioo kimezngua kidogo akasema nimtumie picha ya laptop nikachukua simu nakufungua camera ikawa ipo kwenye flash...
Kwa hiyo mnafikiri watapata GPA kubwa ama uzalishaji utaongezeka sio?
Kitu mnashindwa kutambua ni kuwa wengi tunanata. NA DATA TU, HAYO MENGINE NI ADDITIONAL TU, MAANA KUNA VIFURUSHI VYA DAKIKA...
Habarini wadau,
Naomba kuuliza inawezekana kuzima sabufa au tv ukiwa mbali kwa kutumia mfumo wa gps or GSM track ? Je nini kinahitajika hapa na je unaweza andaa enterface kama site fulani hivi...
Habar za leo wana jamii forum naomba mnielekeze wapi naweza kupata motherboard ya dell desktop computer
Mashine ni optiplex 790 Mino tower
Na
Optiplex 3020
Habari wanajamvi. Tv yangu ni Bruhm ya nchi 32. Kwa siku kadhaa haionyeshi rangi inavotakiwa na picha haitulii.
Naomba msaada wa kujua tatizo ni nini na linatatuliwa, vipuri na ufundi...
Habari wana JF nataka kununua Samsung Galaxy S7 edge mwaka huu, kwani Bado ina ubora uleule wa 2016?
Naombeni ushauri wenu [emoji120][emoji120][emoji120]
Niaje Wakuu Baada ya kufanikiwa Kununua laptop kuna kachenji kamebaki.. kama 400K hivi.
Si Mnajua Geto la Mwanaume halijakamilika Bila laptop na mziki fulani wa kiaina.
Kwa wataalamu wa masuala...
Habari za asubuhi wadau naona jana azam media wamezindua kisimbuzi cha antena,kwa wataalamu mnaweza kutuchambulia utofauti wa kisimbuzi cha dish na cha antena faida na hasara zake
Gwala kwa wana "Jf" wote, matumaini yangu majukumu yetu binafsi yanasonga ipasavyo.
Niende kwenye moja kwa moja kwenye mada husika, hivi karibuni nimeingia kwenye sekta ya android application...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.