Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kuelekezwa kubadilisha user agent katika PC niweze kutumia free basics kwenye PC
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninawezaje kupata serial number ya TV yangu iliyoibwa? Kampuni ya king'amuzi inaweza kutunza serial number kama ambavyo kampuni za simu zinatunza IMEI number?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau habari za jioni! Pc yangu inaniandikia hivi "Windows failed to start. A recent hardware or software change might be the cause" Nifanyeje wadau
0 Reactions
7 Replies
776 Views
Wakuu habari za wakati huu.. naomba mwenye kujua amabaye ataweza kunifanyia intergration ya Direct pay Online kwenye App na website yangu Nawasilisha mwenye kuweza anijuze tufanye kazi..
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Hello laptop yangu Hp mwanangu kaipiga imeachia kwa nyuma na ina vitu vingi vya muhimu sana nahofia inawezekana ikazima, ila kuwaka inawaka fresh issue ni nyuma hapoo naomba msaada inahitajika...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninahitaji mtaalamu wa kunifanyia marekebisho, nilinunua gari mnada wa TRA likiwa halina ufunguo(ulipotelea mezani kwao) katika mazingira hayo nililazimika kulibeba kwenye crane hadi garage, na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam Wanajamii naomba kujua naweza zalisha vipi umeme wa 8 Kw kama nipo sehemu ambapo hamna umeme wa TANESCO? Mimi nilikuwa nawaza kama kutumia betri ya gari au jenereta ila sina uhakika kama...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
0 Reactions
9 Replies
2K Views
HAbari zenu wakuu? Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine. Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji link ya kupakua latest version ya windows 10
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Habar wadau Nina computer yangu hapa kuna hii cable inaitwa ethernet sijawah itumia kabisa kwa internet sasa naomben kujua nawrzaje supply internet kwenye PC au router via ethernet cable kupitia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji kupata app itakayoniwezesha kutuma sms pale ambapo simu yangu haipokelewi, mfano simu yangu nikiwa nimeiweka chaji mtu akinipigia na kwa Vite sitakuwepo karibu na simu basi hiyo app...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nahitaji web au app inayoruhusu nipokee SMS online kwa hapa Tanzania, kuna registration nataka kubypass verification!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa! Kuna kitu nilipenda kufahamu kwa wanaojua. Hivi ukinunua bidhaa kutoka Kikuu na Jumia nimeona wana kitu kinaitwa door-to-door delievery-- wanakuletea hadi mlangoni, swali...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wanajamvi,.. Nahitaji web au app inayoruhusu nipokee SMS online kwa hapa Tanzania.., kuna registration nataka kubypass verification! Thanks
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Naomba anayejua jinsi ya kuiroot tecno spark 3 anielekeze Maana naona simu yangu inajaa jaa sana Nataka niiroot ili niweze kufuta baadhi ya built in apps ambazo sizitumii na zinachukua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Msaada tafadhali natumia XTM Miracle kuflash Nokia TA-1114 inagoma. Msaada tafadhali wa njia mbadala.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Basi pamekuepo na uhitaji mkubwa sana na changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale simu zao zinapozima gafla muda mwingine kuwaka kwa kuganda hivyo wameshindwa kupata ufumbuzi au wamepata lakini kwa...
4 Reactions
130 Replies
15K Views
Msaada nikiwasha kompyuta yangu inaishia hapo
0 Reactions
7 Replies
695 Views
Wakorea washafanya yao huko, Ni package yenye S21, S21 plus na S21 ultra.
8 Reactions
82 Replies
10K Views
Back
Top Bottom