Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nahitaji kupata hii theme ndugu zangu aliyokuwanayo please aje inbox au anayejua namna ya kuipata ndugu zangu ,mods sorry kwa kuweka link mniwie radhi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina mb zakutosha lkn mtandao wa google,chrome playstore zinagoma kufunguka lkn ajabu nikuwa whatapps, instagram zipo sawa leo ni siku 3 nina ilo tatizo na hii ni line ni mpyaa sasa cjui nayo ni...
0 Reactions
9 Replies
813 Views
Wakuu naombeni msaada Nataka kununua laptop kwa mtu ila sijajua jinsi ya kuangalia specifications nikiwa na maana ram, I core na vinginevyo Ni sehemu gan kwenye laptop naweza kuona...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Laptop Repair Tools The following tools will be very helpful if you decide to repair or disassemble a laptop yourself. I will make some recommendations and also provide links where you can find...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari Jf, Application ya photos ya pc window 10 imeharibika bila sababu. Naomba wenye ujuzi wa hili wanisaidie jinsi gani nitaitengeneza maana ndio ninayotumia tu. Kama kuna application...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar za kazi wana jf Naomba msaada wa kujua ni kozi gani nzuri ambayo ni short kozi ambayo naweza kusoma na nikafahama mambo ya fuatayo 1; jinsi ya kutengeneza websites. 2; jinsi ya kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habarin za muda huu wakuu, I hope mko poa back to the topic naomben mnisaidie mweny uelewa kuhus kuacces acc yngu ya insta ,tatz ni kwamb nilibadili password bt pale ilipofka kweny kuverify acc...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu habarini za jioni. Nimeshindwa kufanya installation ya software katika Ubuntu, kwa msaada wa picha naombeni msaada wa maelekezo. Asanteni Cc@Chief-Mkwawa
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nilinunua simu aina ya redmi kwa mtu sasa nilipoflash apps za google zimepotea na sioni sehemu nyingine ya ku download vitu. msaada kwa anayejua nifanye nini. Nimepeleka kwa mafundi wa software...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari, Jamani hivi majuzi nilinunua iphone toka kikuu lakini mpaka sasa nakwama kuisajir 'I cloud Id' iliniweze kudownload baadhi ya app kama WhatsApp na nyingine. Kila nikijaribu kukwepa mfumo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Salam wakuu, Nimeona kwenye AliExpress hii kitu inaitwa TV Box. Is it worth buying? Vipi performance au tofauti yake na hizi consoles za kawaida mfano PS au Xbox? Naona ziko cheaper compared to...
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Hello, Naomba kufahamu ni namna gani simu yangu Iphone 6s+ isiyokubali line itatengemaa na kutumika kama kawaida. Maana inatumia wi_fi only kwa ajili ya network so no call wala sms. Msaada kwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Poleni na majukumu wakuu Iko hivi ninahitaji kuagiza kioo cha Huawei Y9 Prime 2019 Sasa ningependa kujua kwa huko online huwa wanauzaje maana huku mtaani nimeambiwa bei yake ni 140,000/= cash...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Nataka nijifunze ku-edit video kwa ajili ya youtube. Content yenyewe nakuwa nakaa na kuelezea kitu muda mrefu. Nadhani hapa nahitaji kitu simple tu. Baada ya Corona kuisha, ntaanza adventures...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Habarini Wakuu, Wale Wa Kariakoo Na Pengine Naomba Msaada Pa Kupata Hii DC Power Supply, Na Bei Take Kama Itawezekana Asanteni Features: 30V 10A
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habarini za Asubuhi wakuu, Wakuu mimi nimeletewa Laptop ukiwasha inanguruma tu feni ila kwenye kioo haoneshi kitu chochote nifanyeje wadau ? Na huyu jamaa anasema kwamba alikuwa anatumia window...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hapa kuna mbinu 9 za "rewire" njia zako za utambuzi: 1. Lisha ubongo wako Ubongo wako hufanya sehemu ndogo tu ya uzito wako wote wa mwili, lakini hutumia robo ya kila kitu unachokula. Ikiwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada tafadhali, natafuta tray ya kuwekea line ya iphone 11 nimepoteza ya kwangu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello bosses..! Nahitaji kuprogram Eeprom ya immobilizer ya kwenye gari lkn naambiwa 'Chip detect error' Reader ninayoitumia ni EZP2010, chip ni RA57. Any ideas wataalam Cc: dronedrake
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwenye moja ya video amejirekodi Floyd mayweather akiwa kwake kwenye room fulani huku ukutani Kuna kitu Kama mlango lakini ni tv 3,zipo 2 kwa hiyo jumla zinaonekana Kama tv 6.je hizo Ni Tv au ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom