Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari, Naomba msaada wenu, nina TV aina ya SOLSTAR 55" ambayo ni android. TV imeacha ku respond kwenye remote na hata kwa buttons za kawaida. Hapa ndipo iliyokwama, yaani hata kuizima na...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari za saizi ndugu zangu naomba kwanza nieleze shida yangu kwa ufupi ipo hivi na pc yangu ya hp notebook gen 9 processor ni 2.3 hadi 3.2 tatzo lake upande wa kudownload inakuwa na speed ndogo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalam, kwa anayejua software kwa ajiri ya kumix video kutoka source mbalimbali mfano camera tatu unakuwa unaruhusu picha ipi idisplay, kwa mwenye utaalam msaada tafadhali.
1 Reactions
2 Replies
932 Views
Habari watu wa Mungu, I have idea ya kutengeneza biomedical equipment /software ila kuanzia development yake mpaka ku-implement inatakiwa fungu kubwa, so nawezaje kupata fund whether kutoka...
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Wakulungwa habari ya muda huu, simu yangu kila nikifuta kitu inaleta disappearing notification "item moved to trash", awali nilidhani mizigo ndio inakuwa deleted for good sasa leo nadelete baadhi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ofisa Mtendaji Mkuu na mbunifu wa jukwaa la Gigspace, Ashura Babi, akiwa na mwanzilishi mwenza, Steve Mawalla, wamesema waliamua kuanzisha jukwaa hilo kwa ajili ya kuwaongezea na kuwafungulia...
2 Reactions
0 Replies
654 Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote Nipo Dar es Salaam natafuta duka la kununua laptop lenye laptop bora Kwa bei nzuri
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya YouTube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Habarini wakuu, naomba kuingia kwenye mada, Kwanza shukrani kwa wote mlionisaidia kunikutanisha na provider wa internet na nimefanikiwa, Nimekuja kwenu vijana niliomaliza chuo kwa upande wa IT...
2 Reactions
2 Replies
819 Views
Isiwe na kasoro yeyote
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu kama rejea hapo juu nina Microsoft surface 3 ime crack kioo haki respond touch nataka kujua namna ya kukipata na bei yake. Shukurani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mnaopenda bidhaa za kichina. Mzigo huo hapo.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nina changamoto kwenye suala la connection ya internet kwenye computer nahitaji msaada wa anaeweza kujua jinsi ya kusolve hili tatizo. Pc yangu ni DELL ina window 10, nilichange...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wakubwa humu ndani, mimi mwenzenu napenda kuwa mtaalam wa "Computer maintenance " Sema sijapitia chuo labda kusoma elimu hii ya computer, lakini naijuia kuitumia kwa kiasi fulani (sio mjuzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Humu ndani Kuna watu wakubwa wenye maono ndo maana nimekuja kuwaomba ushauri,mdogo wangu kanunua camera yake Nikon nzuri Sana Na anafanya production Ni mtaalam kanipa offer ya kunirekodi video ili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada wa kupata application ambayo nitaweza kuedit background ya picha zangu. msaada kutoka kwenu wakuu
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Natafuta mtu atayeweza nifanyia intergration ya payment gateway ya dpo kwenye project yangu naona kimyaaa sana mwenye kuweza anijuze tafadhali tufanye
1 Reactions
2 Replies
734 Views
Niende moja kwa moja,naombeni ujuzi wa kurudisha picha ambazo nimezifuta kutok kwenye E mail angu kama kuna app inaweza fanya hivyo mnisaidie ni ipi
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Habari, kwanza nianze na lengo la mkeka uu ambalo ni #To promote the brotherhood and collaboration among we tanzanian bloggers Nlipitia nyuzi flan ambayo ilikuwa imeandikwa kwa umaridadi mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana,nilikuwa nataka kudownload game za magari kwenye playstore lakini nikishamaliza kudownload mwisho inaniletea vitu ivyo niscan app pembeni yake inaniambia open the app halafu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom