Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Za saivi wana JF mimi leo mchana nilimtuma mdogo wangu akatoe hela bahati mbaya njiani alichukuliwa na wezi na kuachwa maeneo mbali na nyumbani. Hivyo basi nilikuwa nahitaji niipate simu yangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini ndugu nilikuwa nataka kutengeneza mobile app kama project ya chuo mwaka wa mwisho ila walimu wameniongezea requirements wameniambia kwenye io app hata mtu mwenye simu ya button kama nokia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wa ku switch virtualisation iwe on. Maana nime downloa bluestack katika PC yangu baada ya hapo katika kuitumia Imenicommand kuwasha virtualization ili niweze ku perfom...
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Wakuu siku nyingi za nyuma kulikuwa na Dashbord ya modem iliyokuwa inatumika kupiga simu hata kwa hizi modem ambazo hazijachakachuliwa ili zitumie line zote. Ni muda mrefu enzi zile akina...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Pc, ilikuwa ni nzima kabisa ila baada ya mda nilipo iwasha ikawa imeleta maelezo haya, Boot device not found please install an operating system on your hard disk Hard Disk (3F0) F2 system...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau wapi naweza kuangalia na kudownload Tamthilia za Kimexico (Mexican Telonovera)?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada tafadhari simu yangu ni zaidi ya wiki imegema kudownlod application yeyote play store na storage bado kubwa
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wasalaam wakuu wakubwa zangu shikamoo wadogo zangu malhaba. Naenda moja kwa moja kwenye jambo langu Simu yangu ni Samsung Galaxy Not3 ina mda wa mwaka mzma haikubali kudownload mafaili kupitia...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nimeona tajiri namba moja duniani akishauri watu wahamie signal. Kuna shida gani na new policy?Mi nilidhani ni kwa watu maskini tu wasioweza kununua simu zinazoendana na update zao. Pia kuna mtu...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mtandao wa kijamii maarufu duniani kwa matumizi ya picha na video Instagram, yaongeza kipengele cha utambuzi picha endapo ni halisi au imehaririwa. Kipengele hiki kinaongezwa kuweka msukumo kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi karibuni kampuni ya Infinx imekuwa inajitahidi sana kwani hivi karibuni ilizindua simu ya Infinix Hot 6 ambayo inakuja na processor ya Snapdragon na hii ni mara ya kwanza kabisa kwa simu za...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Nikichukua pdf au word na kuconvett kwenda epub kazi inakosa kabisa mpangilio. Wataalamu kuweka kazi kwa mtindo wa Epub inafanyikaje?
1 Reactions
5 Replies
835 Views
IT inakua kwa kasi nchini Tanzania, makampuni mbali mbali yanategemea mifumo tofauti katika kutekeleza shughuli zake za kila siku. Ni wazi kuwa wataalamu wa IT ni muhimu katika sekta mbali mbali...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Kwa mwenye swali lolote kuhusu umeme uliza hapa. Wakuu haya ni baadhi ya majina ambayo hutumika kama SI unit (people's names used for SI unit) - Michael Faraday SI unit of capacitance farad(f)...
14 Reactions
244 Replies
39K Views
Habari zenu wana jf Leo nimeona nijaribu kujibu maswali yenu kuhusu maswala ya solar na vifaa vyake maana najua kuna ugumu kiasi fulani mtu anapotaka kufunga system ya solar nyumbani kwake tofauti...
4 Reactions
139 Replies
30K Views
Naomba mnifahamishe kuhusu Signal Messenger, inavyofanya kazi na umuhimu wake kwenye ulimwengu wa social media.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekuta hiki kifaa ndani ya begi la mtumba ambalo nilienda kumnunulia dogo leo. Nimeshindwa kujua ni kifaa gani na kina kazi gani,maana hata manual yake imeandikwa kichina,nilikuta pia...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Code Named PHP Tanzanite for obvious Reason, We are happy to release first public version of Hosanna Studio, our flagship PHP/Js IDE. Although it is mostly stable and may be used in production...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
Habar wadau Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama topic inavyojieleza Nimefungua pages za kutangaza biashara yangu Facebook na Instagram Sasa Ili iwe na viewers wengi ambao watalike hizo page natakiwa kuzilipia kulingana na bajeti yangu...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom