Habari zenu wakuu,
Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:-
~PC ipi ya HP itanifaa kwa...
Leo nimetest huu mshipa nilio ununua juzi kati hapo unguja ni used hapo nyuma kidogo nilikua busy sikupata muda wa kuupekua vizuri huu mshipa nilikua natoka asubuhi ukiwa fully charged matumizi...
Habari zenu ndugu!
Nimedownload besa theme nulled. Hapa nafanya mazoezi ya kutengeza ecommerce website. Kwenye desktop kila kitu nimefanikisha nnavotaka, shida ipo kwenye mobile version.
Yaani...
Salam wakuu,
Kwa sale movie addicts wenzangu ukiachana na zile sites zetu pendwa kama vile fzmoviez, hdmp4mania etc. Nimeipata hii hapa katika kuperuziperuzi kwangu. Naona hawako vibaya na mostly...
Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem
Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
Habari wanajF,
Mkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense account yangu yenye Website ambayo ipo hosted na blogger msaada wenu tafadhali namna ya kufix hii ishu ya matangazo.
Nahitaji matangazo...
Habari,
Simu yangu usiku kucha imeingia 46% baada ya kuicharge.
Na kila nikicharge inashuka asilimia badala ya kuongezeka.
Je, shida itakuwa nini?
Msaada wenu tafadhali
Pamoja na kujichanga na kununua Tv yangu ya smart bado nilikuwa nateshwa na hawa wamiliki vingamuzi,
Dstv ndo natumia: huduma mbovu, bei kubwa, mara poor weather, mara error namba fulani(...
Habari wakuu.
Nimefuta account yangu tangu February 2018 sasa kuna watu wangu wa karibu wananipigia simu na kuniuliza nimepatwa na shida gani maana vitu nnavyoandika na kuposti huko Facebook sio...
wakuu nina laini tatu;nikiweka tigo internet inakubali;nikiweka zain internet inakubali;nikiweka vodacom inakataa jibu linakuja setting failed sasa naomba msaada kwa mwenye ufahamu simu ni nokia...
Naangalia national geographic hapa wanaonyesha documentary ya space X so far sijaona mtu mweusi kwenye hii team ya space X. Ina maana watu weusi sisi haya mambo si level yetu au nini.
Wataalam,naomba msaada.
Memory card kwenye simu yangu haifungui picha wala video.
Kuna siku iliniletea ku encrypt sd card,nika kubali.Siku nyingine tena simu ili stuck nika restart.Ikanitaka ni...
Habarini wakuu kuna wazo nilalo la kuanzisha kituo cha kuwa na wataalamu wa Tehama na kuweza kufanya project kadhaa ambazo tunaweza kubuni wenyewe za mda mrefu na mda mfupi.
Naombeni kupata...
Next generation sequencing ni instruments inayotumika ku-unlock cells and microorganisms genetic code, ambapo baada ya ku-unlock inazalisha data (omics datanyingi ambazo zinatakiwa zifanyiwe...
Naomba muongozo kwa yule ambae amewahi nunua refubrished lg v20 au lg g6 aliexpress maana nataka nitoke kwenye shida za tecno naomba msaada wenu tafadhali.
Nakama una weza nieleza kwa simu hiyo...
Salaam wakuu,
Nakumbuka wakati nipo mdogo kuna muvi baba aliinunua inaitwa Back To The Future iliyoactiwa na Mathew J FOx. Muvi hii ilikua inaonesha jinsi mtu anavoweza kusafiri katika muda (time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.