Wakuu mambo vipi,
Nina external aina ya transcend 1TB shida yangu nahitaji kupata usb ndefu atlist 1.5m manake kuchomeka kwenye tv nyuma ni risk inaweza anguka ikaleta shida zingine kama mnavojua...
Habar wadau,
Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version
Bei yake 450,000
Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania?
Pia bei...
Habari za asubuhi The Great Thinker wa jukwaa hili adhimu la Teknolojia. Matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri katika suala zima la upambanaji.
Kilichonileta leo kwenye hili jukwaa...
Video ninayo aina ya samsung 48" sasa nataka kutafuta msaidizi wake ambayo ni kati ya brand hzo mbili za watt 1000 na zenye bluetooth ipi ni imara na yenye mziki wa kutosha na ni bora!!???? Na je...
Iphone tunatumia lakini kuna mambo mengine ya apple tunajikaza tu, ni ya kiduwanzi ile mbaya, kimoja wapo ni hili jinamizi la iTunes, msema kweli mpenzi wa Mungu.
Nenda apple app store download...
Wasalaam,
Nina gari dogo type ya Saloon Automatic 6S ambalo niliagiza 1 kwa 1 toka Japani since 2008. Mwaka jana fundi wangu alibadilisha ile original coolant to coolant ya kibongo iitwayo "Simba...
Habari za muda huu wakuu...
Mimi ni Mdau wa jukwaa hili la technology nimefungua channel Kule youtube inayohusu ma.Game na teknolojia kwa ujumla ninaomba support yenu kwa kusubscribe channel yangu...
Ni matumaini yangu kuwa mko salama,
Wakuu radio (sabufa) aina ya SeaPiano imepata shida haitoi sauti na hata upande wa Fm radio haingei wala haiendi kila ukibadili inaandika Bluetooth ila kuwaka...
Nina tatizo kwenye pc yangu: nikitumia Chrome, Torch au hata Mozilla Firefox Browsers baadhi ya websites kama JF hufunguka lakini zingine kama FB, NECTA nk hazifunguki kabisa.
Nini sababu ya...
Habari wakuu?
Mambo vp?
Ebwana leo nimeona niwashirikishe jambo fulani na nyinyi nipate mawazo yenu na nijue pia taratibu za kisheria zimekaaje katika hili na naweza kuanzia wapi?
Nimefikiria...
Habari wana JF,
Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza.
Naombeni msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader.
Natumia Window 10 Pro 32 bit.
Natanguliza shukrani.
Kama Title inavyosema hapo juu, Natafuta Designer Mzuri mwenye kujiamini kwenye Area zifuatazo:
1. Android & IO's Apps Designing
2. Website na Graphics Designing
3. DataBase
Sio lazima awe na...
Habari wakuu, Ninatoa huduma ya ku bypass iCloud kwenye iPhone Huduma ni kama ifuatavyo
iPhone Bypass (Huduma ina bypass iCloud activation na unaweza kuendelea kutumia simu yako kama kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.