Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu? Msaada wenu tafadhali. Nahitaji kununua kifaa kimoja wapo cha internet kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, je ni kipi ambacho kitakuwa na speed nzuri maana napenda kustream...
3 Reactions
57 Replies
14K Views
A global phishing campaign has been targeting organizations associated with the distribution of COVID-19 vaccines since September 2020, IBM security researchers say. In a blog post, analysts...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Miezi mitano iliyopita nilinunua simu aina ya samsung S9 plus kumbe hii simu ni refablished ina tatizo la network ukiweka laini karibia zote mda mwingine inaandika emergence mara mtandao unasoma...
1 Reactions
5 Replies
849 Views
Mtumiaji wa simu janja hii njoo unijuze zaidi kuhusu mfumo wake wa kulipia per day.. vp inawezekana kufanya maujanja tukaiflash au... Maana simu ya ram 1 na Gb 8 kwa bei ya 280000 sio mchezo hata...
1 Reactions
11 Replies
36K Views
Nimeanza na kichwa cha habari kwa kuuliza je katika huu ulimwengu wa sasa kuna mtu anaweza acha kweli pesa au kazi inayo muingizia pesa na kufuata passion? Katika miaka ya 2007s kipindi nipo A...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
kama unatumia iphone na icloud na ukafikiri picha zako zipo salama haupo sahihi jamaa wamehack kwenye icloud ya apple na kuiba picha za celebrity kibao na kuzipost online hii ndio list Aly and AJ...
2 Reactions
52 Replies
12K Views
wakuu nashida na google swahili API in python nahitaji kuandika program ambayo itayoweza kutranslate swahili language to any other language kwa kutumia python
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimenunua machine hizi Sasa ninazo 3. Kwa biashara za studio ni nzuri kwasababu zinatoa picha zenye kiwango Sana. Picha haipauki kaza zile za Epson Wala kuchanika. Tatizo hizi mashine baada ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Google play music app, inaandika hivyo kwenye simu yangu
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Naomba kujua namna ya kuondoa mwangwi wakati wa kurekodi kwenye chumba. Nifanyaje? Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu somo tajwa juu lahusika. Nataka nianzr kutengeneza photoentry forms kwa wale WANAFUNZI wanaotarajiwa kufanya mitihani ya NECTA. Nauliza je natakiwa niwe na na nini kwenye kompyuta yangu?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Nina iphone 8 nimenunua kwa jamaa yangu yupo mbele na alisahau kufuta icloud acc, naomba msaada ufuatao Iphone naitumia lakini ina Apple acc ya mshkaji.....kuna mambo siwezi fanya bila password...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Sio mwandishi mzuri lakini nataka kushare hii na watanzania, Hii ni moja ya fursa kubwa zinazopatikana duniani kwa sasa,Kutokana na ukuaji wa masoko na mwendelezo wa ukuaji wa teknolojia. Leo hii...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Anaefahamu jinsi yakupata swift comfimation za adsense bank wanataka hizo swift confimation kutoka kwa adsense waliotuma Sijawai toa pesa kwa wire transfer ni mala ya kwanza
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Natafuta fundi aliyeko Dar Upanga au Kariakoo. Nina computer yangu laptop Acer inawaka vizuri ila hai display ni pointer tu naiona ila vingine sioni. Nili nunua anti virus Kaspersky ndio problem...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau naomba kujua matumizi ya u torrent ninafahamu mengi lkn Kwa hili limenipiga chenga
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wadau...natafuta housing ya computer aina ya Lenovo y50_70 touch..mfuniko wa nyuma na sehemu ya keyboard..au Kama scraper ipo yenye spare parts tuongee biashara pesa ya mfuko wa shati...
1 Reactions
2 Replies
959 Views
Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c. Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe? Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama ilivyo desturi kwa wanafunz wa 3rd year kwa upand wa Bsc compt science and IT kufanya final project, nilikuw naomb mnisaadie title unique nayowez kutengeza system or Android app inayowez...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habar za saiz wadau natumain wote mpo powa, Naomba msaada jinsi ya kurejesha account yangu ya Facebook ambayo nimesahau password alafu namba niliyotumia kufungulia hiyo account nimeipoteza
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom