Wakuu PC yangu ni aina ya HP Pro elite Book
Inatumia window 10
Sasa changamoto inakuja kwenye utumiaji wa MB yaani 1Inaweza isha hata ndani ya dakika 5 tu
Sasa naomba Muongozo nifanyaje ili...
Kuna program ninayo inayoweza kuendesha java applications kwenye computer lakini nikiExit application program nayo inaExit naomba mwenye kujua program nzuri
Wadau naomba kujua ikiwa natuma msg nyingi za taasisi mf Kanisa na nataka sms ikifika ifike kwa jina la Kanisa husika na sio namba iliyotuma na wakati huo huo huwezi kujibu.
Je, nifanyeje?
Wakuu huwa nadownload movies na series kupitia telegram sasa nyingi huwa hazina subtitles, nimejaribu kuangalia kupitia vlc au mx player bt naona dizaini inaleta shida, je kuna njia nyingine...
Habari wakuu... natitaji kufahamu software itakayo nisaidia kupunguza ukubwa wa picha (passport size) mpaka kufikia 4 kb.... Ntatumia digital camera kupiga then nahitaji kuzipunguza zaidi...
Sayansi imesaidia Sana KWA kiasi kikubwa kukabili uhalifu, Hasa KWA nchi zilizo endelea, pia imesaidia kupunguza wanaokwenda gerezani bila hatia, hapa naongelea maswala mazma ya kibiometric, Kama...
Hamjambo wakubwa nilikua natoka zangu pemba kikazi kuja Dar home nikashuka Unguja kama saa saba mchana ikabidi nikatembee Pela unguja ili nivute muda ifike saa kumi nipande boti nije Dar...
Jana kila nilipokua naingia instagram, ilikua ina corrupt, na Simu kurudi ukurasa wa mwanzo yaani Home Screen, nimejaribu mara kadha kuingia bado ikawa ina fanya hivyo, na simu kuwa mzito kwenye...
baada ya minong'ono ya muda mrefu kwamba Apple katika simu zao za 2020, ambazo zinatarajiwa kuwa apple iphone 9(se 2)12,12pro,12 pro max, kuhamia usb type c, sasa kama kawaida yao wazee suprise...
(Changia chochote)
Wewe kama mdau wa masuala ya Technology/Information systems unaona kuna changamoto gani katika mifumo ya sasa ya kiteknolojia au ni mifumo ipi mipya ianzishwe ili kuboresha...
wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapa unapost kazi yako ya graphic tunacheki kama inamakosa tunakosoa unarekebisha unajikuta unawiva katika graphic design
Nimepata msala kwa sababu ya kisimu kidogo tu cha vodafone na sasa nimekuwa kama mtu asiye na mikono.
Nimetumia computer tofauti tofauti kwa muda sasa, lakini sijawahi ku-short USB Ports kama...
Ni changamoto nyingi sana kwa mafundi wetu wakitanzania upande wa vifaa vya umeme,kwa nini tunashindwa kukabiliana na chanomoto upande wa current yani mkondo wa umeme .!
Asilimia kubwa tunakalili...
Salaam wakuu.
Kwa muda sasa nimekuwa nina interest ya kujifunza graphic design ila sijajua pa kuanzia, nimekuwa niki Google na kuangalia video YouTube lakini bado sijapata mwanga.
Sana Sana...
Nahitaji kununua Mini Projector Lakni sijui nichukue ipi iliyo bora zaidi naomba nijue mambo ya kuzingatia kabla sijanunua hii kitu
ni vitu gani vya msingi navyotakiwa kujua kabla sijanunua nisije...
Habarini wana jamvi wa JF tech,
Bila kupoteza muda niende kwenye swala langu; kuna infinix hapa inaonekana kuna mtu ameichezea afu kaiingiza safe mode, zile applications zote zilizokuwa...
Habari wana Jamvi.
1: Signal za simu yangu sijui niseme ziko chini au lah, ila kila mtandao ninaotumia katika internet mtandao unashika kwa shida sana.
2: Niki set data kwa line fulani, tuseme...
Miezi mitano iliyopita nilinunua simu aina ya Samsung S9 plus kumbe hii simu ni refurbished ina tatizo la network ukiweka laini karibia zote muda mwingine inaandika emergence mara mtandao unasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.