Kwema Viongozi,
Laptop yangu haiwaki kabisa. Naombeni kujua shida inaweza kuwa ni nini?
Nimejaribu kubadili charger lakini hakuna mabadiliko.
Nb ni ina 8yrs now hp 650
Naomba kujuzwa kuhusu game za mission kama gtv 4 na gtv 5 huwa naona video za wale jamaa wa youtube wanaelekeza jinsi ya kupakua zile game mimi huwa na jaribu lakin sifanikiwi.
Vipi kwa humu...
Wakuu PC ninayotumia ni HP 850 Elite Book
Sasa wakuu hii PC haina option ya Bluetooth,
Je?, Nawezaje kuweka hiyo Bluetooth option kwenye Hii PC
Msaada wenu wataalamu wa haya mambo
Naona review za processor mpya za Ryzen ni kuwa zimeipiga mtama mkali intel mbali kabisa likija suala la gaming. Wataalam wa mambo wanasema kwamba technology ya AMD ni hatari sana na intel bado...
Nina Computer yangu ni i5 3rd gen i5 3470
Nilisoma uzi mmoja nikaona unaweza nunua graphic kubwa alafu isiwe na msaada mashine yangu ni sff yani ya kulala nataka ninunue graphic hii je nitapata...
Natambua kuna baadhi ya App zinakiuka sheria za nchi fulani hivyo zinafungiwa na hazipatikani kwenye Play store au App store
Lakini Apps kwa mfano kama instagram lite, google lite, Twitter lite...
Habarini,
Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje
Nawasilisha,
Nawategemea.
Wakuu hatimaye leo nimeipata iPhone 12 pro max 512GB!
Ni simu nzuri mno tofauti na nilivyoikandia hapa maana niliapa nitabaki kwenye 11 pro max!!
Display is much better than expected!!
Let's...
Habari Wana JF natumaini ni wazima,
Naomb niende kwenye point ya msingi. Nimesoma pdf za kudesign amplifier nimesoma class A amplifier nimeiyerewa na nime design yangu kwa project board imefanya...
Nina Computer yangu ni i5 3rd gen i5 3470
Nilisoma uzi mmoja nikaona unaweza nunua graphic kubwa alafu isiwe na msaada mashine yangu ni sff yani ya kulala nataka ninunue graphic hii je nitapata...
NB:Uchambuzi huu umelenga wale ambao tayari wanaijua vizuri electronics,kama wewe bado hauko vizuri tafadhari anza kujifunza mafunzo ya awali bonyeza HAPA
UBUNIFU WA INVETER
Jambo la msingi...
Wana tech wa humu ndani leo nina swali lenu, hivi ipi ni tofauti kati ya hdmi na digital optical cable??. Ipi ina higher resolution sound? Kuna watu wanakwambia hdmi wengine digital.
Mimi nina...
Salaam wakuu
Nina simu yangu hapa Nokia c1 ilipata tatizo la kioo nikarekebisha kwa kuweka kioo kipya,
Baada ya kuweka kioo kipya ikawa haipeleki chaji,baada ya kurekebisha ikaa poa chaji...
Habari za siku wataalam,
Nina kisimbuzi cha Dstv kama kinavyoonekana pichani
Mwanzo nilikuwa Napata Sauti kutumia HDMI wire ambao ililazimu ufike kwenye TV kwanza kisha nilichomeka AV wire...
Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana!
Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo!
Wahenga mtuhabarishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.