Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
MSAADA JAMANI MWENYE CURRENT KEYS ZA OFFICE 2016 TAFADHALI NISAIDIE
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*****†********
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Jamani nawaombeni msaada. Je1 Naweza pata wapi fito za dish 8 ft. Nimewahi ambiwa nichonge nondo. Hata hivyo, hazikunifaa kabisa.
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Siku hizi sio lazima sana utumie muda mwingi kudevelop system from scratch. Kuna open source marketi nyingi ambapo unaweza nunua mfumo unafanya customization kisha unauza. Mfano ni envato market...
1 Reactions
1 Replies
892 Views
msaada wakuu nipo dar sim yangu red me note 7 pro inasumbua kukamata internet ....nimeshafanya settings zote muhmu bado tu kuresett....
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nisiwe na maneno mengi sana but natafuta ushauri wa kipi cha kufanya maana baada ya ku update OS from 7 to 8 device imekuwa ikiporomosha charge faster sana! Kibaya zaidi inachemka mno hasa kipindi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sorry wana jf, naomba kuuliza juu ya PC yangu natumia HP 430 lakin port zake nikichomeka flash inakubali kusoma na kutulia fresh lakini nikitumia USB ya kwenye simu naona inasoma lakini haitulii...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, jamani nawezaje kupata network unlock code ya Samsung j7?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
WARNING: KWENYE HII COURSE NITATENGENEZA WEBSITE,MOBILE APPLICATION MOJA , PAMOJA NA APP BUBGET KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO YA MWEZI. KUNA WATU WANAPENDA MTEREMKO WANAPENDA KUCHUKUA IDEA YA...
10 Reactions
62 Replies
10K Views
Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu wapi naweza pata hii bidhaa kwa hapa bongo na bei zake zikoje?
0 Reactions
4 Replies
803 Views
Salute comrades Sasa yapata wiki kila nikiingia ktk AZAM APP nishuhudia vitu vya hovyo kabisa, unaingia Azam two unasikia kipindi kinaendelea lakini picha/ watu hawaonekani, vivyo hivyo channel...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mabadiliko ya kushtua kwetu wapenzi wa modded WhatsApp Apk ni hili, Official Whatsapp version kupiga marufuku watumiaji wanaotumia programu za Whatsapp kama vile GBWhatsapp, FmWhatsApp...
3 Reactions
195 Replies
40K Views
napenda kuangalia movie zenye teknolojia ya juu kama matrix, iron man n. k natamani niwe na uwezo wa kutengeneza movie kama hizo nifanyeje? au nisomee vitu gan ili niweze kutengeneza movie kama hizo?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
kipindi nipi chuo teacher wa entrepreneur aliseama moja ya chanzo kikubwa cha biashara kufa ni kufail ku price service or goods, Cheki hichi kituko cha swahiliflix.tv kweli jack unaenda ku copy...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyosema Mweny ujuzi wa kubadili line(voda) kuwa ya chuo naomba anisaidie
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kutumia simu ya iPhone wadau nitumie software gani ku download movies
0 Reactions
3 Replies
907 Views
Kwa wale wanaotumia Windows 10 wana changamoto ya kufikia mtandao wa mfumo wa taarifa za kiutumishi HCMIS almaaruf "Lawson". Kompyuta za kisasa, nyingi hazikubali kuinstall Windows 7 au za zamani...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Je? Umechoka kufanya installation za program application nyingi (zikiwemo OS) kila mara .., basi usipate tabu. Nitajie list ya program zooote unatohitaji mara kwa mara.., mimi nitazikusanya na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom