Simu ya TECNO CX nikiweka 3G only inashuka mtandao inabak Bar Moja tu and speed inashuka sana, Msaada kwa hili Guys. Je, naweza pata Screenshort tutorials za kucheza nayo kwenye hardware...
Naomba jamani mwenye password ili niweze install quick book pro 2013. Nina shida kweli naomba msaada najua humu jamii forums kuna wataalamu na tumekuwa tukisaidiana please naombeni msaada wana IT...
Habar for past 2 days FAceapp imepata umaarufu mkubwa na watumiaji wengi je nyuma ya faceapp kuna technology ipi imetumika kuunda hii application je kuna any risk ya privacy kwa watumiaji wa hii app
Why You Should Not Upgrade To Android 7.0 Nougat
Sina Hakika Na hili Maana Sijaijaribu Hiyo Kitu ila ni kwa kuwatahadharisha tu.
This is Why I May Never Upgrade to Android 7.0 Nougat
This...
Wakuu kuna kaujinga kana trend kwa kasi sana huko instagram na kwingineko sasa ni hivi......................
Whether or not you use an iPhone or an Android device, FaceApp says that by using its...
Wakuu mimi nipo mkoani nahitaji desk top kwa ajiri ya games na bajeti ya 30k katika pita pita mtandaoni nimeona page hii ya discount anauza kompya.ram4,hdd500,screen inch19.kwa 28800.
Nahiji...
Mimi huwa sikubaliani na roho ya HOFU na siipagi nafasi kabisa katika mazingira yoyote yale.
Niliwahi kugongana na watu wasiojulikana wakachukua simu yangu kwa uchunguzi zaidi. Kesho yake...
Habari wana JF,nina Iphone 6s plus ambayo baada ya kujaribu kuingiza passcode mara kwa mara imeniletea ujumbe kuwa 'connect to iTunes'.Msaada wenu tafadhali.
Wakuu kwema,
Mimi sio mtaalamu kabisa wa hizi simu, ila kuanzia mwezi uliopita nilianza kutumia infinix hot 6 pro baada ya kushawishiwa na mshikaji, asee very wonderful, nimeifurahia sana hii...
Kuna kiasi kikubwa sana ya tovuti tena ya taasisi zinazoheshika hapa nchini kutoa security warning kwamba ni fake/zinaiba identity au zinafanya phishing attack.Je nini ni sababu ya hii?
Habari wajuvi,
Kuna ndugu yangu anataka aagize charger kutoka aliexpress ila hana sanduku la posta hivyo anataka atumie post code ya makao makuu hapa Dar
Je post code ni ipi na ofisi inapatikana...
Nina iphone X katika matumizi matumizi mwezi ulopita nili ilaliaje sijui ki ukweli ila nimeamka asubuhi nashika SIMUnakuta display ni white blank,hamna maandishi kioo kinawaka kama tubelight ule...
Wakuu, heshima kwenu, mimi napenda sana simu toka kampuni ya tecno, mpaka sasa hii natumia tecno, nahtaji ninunue tena tecno,
Je ni tecno gan yenye ubora na ya bei ya chini kama laki mbili...
Wakuu habari za wakati huu....
Naomba mwenye kujua namna ya kuunganisha king'amuzi cha Azam kutoka kwenye receiver ya Azam na Tv nyingine,Kiufupi nina Tv mbili moja ni smart nyingine ni chogo,Hii...
Here is the database that contained all users info about users 1,824,953 leaked and dumped.. enjoy. .note there is more than this..
below is the link to download the database breached...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.