Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina website yangu ya kuuza na kununua sasa sijajua wenzangu wanafanyaje kupromote bidhaa nyingi ata zaidi ya saba kwenye Facebook page mfano kama bidhaa za alibaba anavyoboost facebook kunakuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
July 20 mwaka 1969 ndo Siku ya kwanza binadamu wa kwanza aliyeitwa Neil Armstrong aliweka nyazo zake mwezini, ni miaka 50 mpaka sasa. Lakin mtu wa mwisho kwenda mwezin ilikuwa ni mwaka 1972...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua ubora wa camera ya canon EOS T5/1400D ,lensi 18-55mm Megapix 24 Kwenye picha na video shooting
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Inawezekana kwamba waliowengi wanajua jinsi ya kutambua post code ya mtaa/kata lakini nataka kuwakumbusha na kuwajuza wale wasiofahamu kabisa Fuata njia zifuatazo kwenye simu yako;
4 Reactions
22 Replies
27K Views
Kuna mtu anaitakia pesa ya haraka Brand-Dell vostro (1520) Ram-3Gb Hard Drive-256Gb Processor-Core 2 Duo *Price 280K* +255754516975
0 Reactions
2 Replies
672 Views
Naombeni msaada kwa anaye jua wapi hiki kifaa kinauzwa
0 Reactions
3 Replies
565 Views
Kuna mtu anaitakia pesa ya haraka Brand-Dell vostro (1520) Ram-3Gb Hard Drive-256Gb Processor-Core 2 Duo *Price 280K* +255754515975
0 Reactions
2 Replies
724 Views
Full Stack Software Engineer job opening at ENGIE Powercorner, check the post on LinkedIn for more details. https://www.linkedin.com/jobs/view/1333157797/ Please, don't ask me anything related...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Kampuni ya microsoft imefanya maboresho kwenye program endeshi (windows 10) ikiwa wameongeza baadhi ya vitu ambavyo kusema ukwel n very helpful. Baadhi ya maboresho yaliyofanyika ni kama...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jf wote ambao mmepitia uzi huu ili kujifunza ku_download game la grand_theft_auto_city kwakifupi mnaita (GTA) sasa kama hufahamu gta unaeeza kucheza katika simu ya android toa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Msaaada kwenye tutaaa Flash file na flash tool ya tecno S1
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima wa kuu. Nilivutiwa na mada za wadau mbalimbali kuhusu kununua vitu online, ndipo nilipoa amua kujitosa kununua simu mbili za brand ya Xiaomi mi max 2 and Xiaomi Redmi 4 Pro. Sasa mzigo...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Hello, I have made a mobile app to buy bus tickets in Tanzania. I would like to know what you guys think. What would you improve? Find the link below: gopamoja.com
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wadau! Natumia macbook pro 2015 with retina, ilikuwa inakata na chako kwa saa 10 mpaka 12 lakin ghafla imeanza kupoteza uwezo wa kukaa na chaj mpaka kufikia kukaa na chaj kwa saa 1 mpaka 2...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Wakuu naomba mnisaidie mawazo, Naitaji kuwa na zile picha kubwa ambazo naweza kubandika kwenye ubao wa matangazo, au hata kwenye zile vioo ambavyo unafunga taa ndani then picha inaonekana sasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari. Ni muda Sasa tangu YouTube app Katika Simu yangu ianze kusumbua.Nimehangaika kufanya kila utundu wangu wote kwenye Simu ila nimechemsha. Nimelileta kwenu please naomba msaada wenu Kama...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habali Wana Jr Naombeni Msaada Wenu Simu Yangu baada Ya Kuiroot Ilikuwa Inaishia Kuandika Logo Ya TECNO ilikuwa haifunguki nili iflash but nikakuta kuna mabadiliko mwanzoni ilikuwa inasoma 3G...
0 Reactions
2 Replies
608 Views
Je naweza kupata kwenye duka gani hapa Dar simu mpya aina ZTE? Niliyo nayo ni ZTE model BV0720 Version 2.0.0B04 na ningependa toleo hilo au later version, language iwe English. Natanguliza shukurani
1 Reactions
0 Replies
958 Views
Habari wanajamvi, nasikia kuna mautundu yanafanyika mpaka king'amuzi cha Star times kinaonyesha channels kibao mpaka 5000+ naomba mwenye ujuzi huo anielekeze Kuanzia hatua ya kwanza mpaka ya mwisho
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naongea haya nikijua ya kua, wateja wengi wa tecno hununua simu kwa mihemuko, yaaani likitoka toleo flan likasifiwa basi kila yule atataka kununua, kumbuka enzi za H6, P5, Boom J7, C8, C9 n.k n.k...
4 Reactions
80 Replies
13K Views
Back
Top Bottom