Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Shida kubwa ni hizi app hazitambui images videos na audio na hii ni 100% security issue sijui kama ni *haking* au *update za security*
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari members!! Kichwa Habari hapo kama kinavyosema! Nini faida ya kutumia kikoa cha co.tz,do.tz au go.tz? Na je kupitia hivyo vikoa utaweza jiunga na Google AdSense?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanajf natumia pc aina ya HP lakini naona kwenye batani kuna herufi nikizibonyeza zinatoa sauti alafu naweza nikabonyeza t ikaja hivi t" au y ikaja y[ naomben kujua shida nini? Au setting?
0 Reactions
2 Replies
773 Views
32GB Storage Full HD 4K Camera and display 4G internet Speed . Fingerprint security Sensors za kupima heart rates na physical exercises Battery life 1 Day Haina scratch yoyote If interested...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nina halotel H6307. tatizo la kasimu hana ni lazima kawe na line ya halotel ...kana line mbili... sharti ni kuwa lazima slot moja iwe na line ya halotel...kitu ambacho siyo kabisa.... mwanye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tukutane hapa wanazengo tunaotumia YouTube kujiingizia kipato na ww unaependa uweze jifunza kwa namna moja ukiwa interest unaweza Fanya na wewe! Me nimeangalia jamii sjaona group kama hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
#5 trending Jinsi ya kuirekebisha WhatsApp/Instagram yako, Angalia na share uweze wasaidia wenzio. Ulivyo na roho Mbaya utaacha kushare!
0 Reactions
1 Replies
577 Views
kama jana ulikuwa unatumia jf ,kuna muda ulipata hii error 502-bad Gateway unaweza sema walikuwa ni watu wasiojulikana wakifanya yao,worry not,, tatizo hili lilisababisha website nyingi duniani...
1 Reactions
2 Replies
780 Views
Iko na shida kwangu tuu au kote
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani habarini za saizi? Please naomba msaada wenu kwa yeyote ambaye anauza au anamfahamu anayeuza account ya ADSENSE yenye domain au blogsport isiwe ya YOUTUBE, iwe imetoa au haijatoa naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni site ambayo itakuwezesha kuangalia vitu mbali mbali ambavyo vilikwepo kwenye website hata kama vituu hivyo vimefutwa utaweza kuangalia tangu siku ambayo website hiyo ilikua launched mpaka...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Jinsi ya kujua kama kuna MTU amehack no yko ya simu fuata hii link ktazama kiundani zaidi.
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Source Alexa Jamii forums yashika nafasi ya 5 Tanzania kwa mitandao inayo tembelewa sana hapa bongo,jamiiforums ime mpiku millardayo,bongo5,udakuspecially ambayo iliyonekana kuja kwa kasi kipindi...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau ivi hii app ya terrarium tv imepatwa na nini maana kila nikiingia sina nikipatacho kwa anaejua tafadhali. Au kuna mbadala?
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Nimeorder screen online,nimeenda kwa fundi amesema imekatika juu.embu nisaidieni kama ni kweli au? Hicho kifaa kinachoonekana juu ya screen.
0 Reactions
5 Replies
683 Views
Habari zenu wakuu, naombeni msaada wa apps yeyote ya kuhide meseji za kwa kawaida, ili kulinda ndoa zetu .
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Halotel wamenikosha sana roho Jamani 500MB shillings 500 1000mb shillings 1000 15gb elfu kumiiii na dakika na sms kibaoooo nani kama Halotel hakuna jamani Hamieni halotel huku mambo ni...
5 Reactions
74 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu. Naombeni mnisaidie link ya ku-download app ya Showbox kwenye simu tafadhali. Nimejaribu ku-search google lakini siipati ile yenye jicho wakuu. Ninazozipata nikizi-download...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Leo wana jf natumaini mu wa waziwa afya na nguvu tele Kama kichwa cha habari kinavojielez mm nimetumi hii cm aina ya Microsoft kwa mda si chini ya mwaka mmoja ila bado Kuna baadhi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, Najihusisha na biashara ya kukodisha CD za kikorea ila kamtaji kamekua nataka kununua printer yenye kuprint picha ya rangi na kutoa copy cava za movie kama zilivyo Je printer ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom