Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari,kwa wale wanaozitumia hizi simu tecno spark k7 ninaomba kufahamu namna ya kuhamisha apps kutoka internal storage kwenda kwenye sd card.
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Wakuu kila nikireset password kwenye website ya RITA naishia kupata ujumbe " Your password reset key is invalid " natatuaje hili?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijawahi kutumia kabisa hizi simu (Oppo K1 na Xiaomi mi red 4 na Infinix note 5) naomba wataalamu wanijuze ubora wa hizo simu kwa kuangalia 1/Uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu hasa...
3 Reactions
200 Replies
34K Views
Naomba Mnishauri Mtiririko Mzuri Wa Kuxoma Hiz Programing Languages Yani Nianze Na Ipi Na Ipi Ifate Na Kuendelea, Nataka Nianze Leo Jaman
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Wakuu habari za kazi Kwa muda mrefu nime kua ni kisumbuliwa na swali hili coz ukiangalia kama ni karatasi za rim ktk kuprint soft copy-hardcopy zina tumika saw a na kuphotocopy hardcopy kwa nini...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
hii laptop yangu aina ya lenovo nilimpa mtu atumie lakini baada ya kuirudisha nikiwasha kibatani cha kuwasha ndio hutoa mwanga na kisha inazima je ni imeharibika au watakuwa wamechomoa hard disk...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Simu zenye kamera nzuri kuliko ata samsung na iphone. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
50 Replies
11K Views
Salaam wakuu,,, Techno wx3,, ina tatizo la kujaa hadi kufikia nashindwa kufungua apps nyingi hata kupiga simu au kufungua na kutuma SMS! Inaandika " internal storage running out" Ikifikia hatua...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Habarini za majukumu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye ulewa kwenye hili tatizo. Nina UPS ya APC smart ups ambayo hata nikiiwasha haitaki kuwaka na hata nikisema niiconnect kwenye power bado...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hello bosses, Nimeamua kuleta uzi huu kwa sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la matukio ya hacking kwenye website mbalimbali, na pia wizi wa data mbali mbali za watu (watumiaji wa websites)...
10 Reactions
41 Replies
6K Views
Wakuu yani unakuta ipad inauzwa mpaka milion 6, Hivi ni nini kinapelekea hizi bidhaa za hii kampuni kuuzwa ghali kiasi hiki?
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Natumia pc ya HP window 7, nikicheki muvi au music za video window media player na VLC hzioneshi picha zinatoa sauti. nikizima pc nkawasha itaonesha kwa muziki wa kwanza halafu tatizo linajirudia...
0 Reactions
4 Replies
803 Views
Habari za wakati huu wanajukwaa. Nimekuja na issue ambayo naamini ni ndogo sana kwa wazoefu wa mambo ya technology. Ipo hivi, mimi ni muagizaji wa bidhaa china kupitia kikuu. Hivi juzi kati...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
nataka kuagiza vitu toka aliexpress ila bado sijafungua anuani yangu. naomba kwa anaye juua ada za posta anijuze
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini.... Naitaji kuupgrade ROM ya simu ya Samsung note 1 from Jerry beans to Lollipop... naitaji kujua procedures Karibuni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari,je una ngo? na unataka kupokea donations online ? kama jibu ni ndio basi umepata suluhisho. ntakuwekea donation tab kwenye web yako ambapo utaweza pokea donations kutoka kwa site visitors...
1 Reactions
0 Replies
495 Views
*Whatsapp 4G 4.0* is now released,You must install it Now to Enjoy latest features like *Top Whatsapp Group Links,* *Private msg without showing your number,* *Free wifi mode,* *who view your...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya. Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Msaada WAP kwa dar naeza pata tcl smart TV inch 32 yenye built in ROKU TV maana nimezunguka madukan lakin nyingi in model za zaman ambazo hazina hii roku service. Au tcl zenye android OS atleast
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Amani iwe pamoja nanyi wakuu. Kama kichwa kinavyostate, Naomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza fahamu namna naweza pata voucher za freedomvpn kwa bei nafuu.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom