Habari wadau wa jukwaa hili,ombi langu kwenu ni kutaka kujuzwa aina nzuri ya fridge(friji) ambalo halili umeme mwingi,liwe imara,lina tunza mazingira,gesi yake iwe inapatkana kwa...
wakuu simu yangu ina tatizo la kushindwa ku serve picha wasap kwenye profile ya mtu nikibonyesha kwwenye option pale hakuna option hiyo.nime update mala kadhaa lakini wap..naomba kupata msaada wa...
Naomba nisaiidiwe namna gani naweza kuideit free templates Kwenye blogger na kuiwekea jina langu kwenye Footer sehemu ya chini kabisa. Kama inavyoonekana Kwenye picha hapo chini jinsi gani...
Habari wana JF !
Katika mahojiano ya hivi karibuni , mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft, Bill Gates amenukuliwa akisema kuwa katika moja ya kosa lake kubwa la wakati wote alilolifanya ni kuiacha...
Welcome you to MUSICAL SERVICE LIMITED. The world of music on professional market, we are dealers of all kinds of Dj Equipment Such as Mixers, Speakers, Headphones Gears, Amplifiers and many more...
SPOILER: THE PERCIVED TRUTH ABOUT JF "DEVELOPERS"
ONLY WEB DEVELOPERS - The JF Dev staff zinazo tu web developers from features walizonazo ni trending to Keyboard features kama (Bold, Italic...
TUMEFUNDISHWA KUWA JUA LIPO KATIKATI NA LIMEZUNGUKWA NA SAYARI TISA,MBALI NA HAPO KUNA VITU MBALIMBALI KAMA ASTEROID,COMENTS,DUST,GAS ETC SASA NINAOMBA MSAADA WA KISAYANSI KWA SWALI MOJA TUU...
Habari wakuu nina site yangu ya kiislamu nahitaji designer wa kuifanyia maboresho nahitaji content zangu zote zitoke katika blog yangu hii www.somaqurani.blogspot.com ziletwe katika...
Hii kitu nilikuwa naitumia kipindi cha nyuma lakini sasa hii version ya 5...... Inaniboa sana pale ninapofungua PDF files mouse pointer inafreeze mpaka nisubirie kwanza sasa sijui shida ni kwangu...
Kwenye kuchaji simu ni watu wengu wanafanya makosa mbalimbali ambayo yanasababisha mfumo wa kuchati au ata betri za simu zao kuharibika mapema. Leo fahamu mambo ya uzingatia katika kuchaji simu na...
Source: http://mtanzania.co.tz/veta-kihonda-yabuni-teknolojia-ya-kuongoza-magari/
Na Christina Gauluhanga, Dar es Salaam
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), Chuo cha Kihonda...
Nimeamua kuanzisha huu uzi baada ya kuona karibia kila developer ninayekutana naye mtanzania tools zake backend: Php + MySQL, frontend: HTML/CSS/JavaScript.
Ok sawa, Php is a great language...
Source: http://mtanzania.co.tz/veta-kihonda-yabuni-teknolojia-ya-kuongoza-magari/
Na Christina Gauluhanga, Dar es Salaam
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), Chuo cha Kihonda...
Source: http://mtanzania.co.tz/veta-kihonda-yabuni-teknolojia-ya-kuongoza-magari/
Na Christina Gauluhanga, Dar es Salaam
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), Chuo cha Kihonda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.